kababu
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,699
- 804
Asante kwa kuliweka vizuri hili.....
Anawadanganya watanzania kuwa mtu akituma shilingi 1,000/= atakatwa shilingi 280/= wakati anajua kuwa kinachokatwa ni asilimia 10 ya kodi ya mapato na asilimia 18 ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya faida ya makampuni ya simu inayotokana na kiwango cha miamala inayotozwa na kampuni za simu na benki.
Nilikuwa sijamwelewa Zitto ila hapo kwenye post yako umenielewesha vizuri.
Ongera Zitto kwa uchambuzi imara na wauwazi uliojaa kweli
kwa hiyo ukituma 1000 unakatwa 280, ukituma 100,000 unakatwa 28,000/=, ulituma 1000,0000 unakatwa 280,000/=
hata kama ni mtoto mdogo, uwezi ukadanganya hivi kweli zito