Zitto Kabwe Leo atafikishwa mbele Ya kamati za maadili kujibu mashitaka yake

Naona wabunge wa Ccm wanataka kuwaandikia wapinzani kitu cha kuongea. Kama hawautaki upinzani wafute mfumo wa vyama vingi ili turudishe ile dhana ya kusema zidumu fikra za.....
Hii ni aibu na nijambo la kukemea na kulaani, kwamba sasa wanataka masifa tu.
 
  • Thanks
Reactions: Pai
aise tumekwisha alisema tutaisha km mashetani ndyo dalili enyewe ya uhitler kufunga mdomo bunge uhuru wa habari kubanwa na bunge live kuzuiwa.ZITO tuko nyuma yako kemea mamilioni tupo nyuma yako,utupiganie tutoke ktk hili giza la ukandamizaji wa habari
 
mmh yule aliyetukana wanawake hajafikishwa kwenye kamati ya maadili,hawa waliopinga bunge kuwa gizani ndio wanaitwa kwenye kamati ya maadili
Yupi huyo?yule aliesema wabunge wa chadema wamekatiwa shanga?
 
Kinachonichekesha na kunishangaza ni 'mamlaka za juu' kuwapangia wabunge ni nini waongee na nini wasiongee!
Bunge ni sehemu ya majadiliano na ni lazima kutegemea mawazo usiyoyatarajia, yawe ya kufurahisha, kuchukiza au kushtua.
 
Nchi hii ina maajabu mengi sana aisee,wahalifu wanaachwa ila wanaohoji ukweli wanadhibitiwa.......ni aibu kubwa sana kuitwa Mtanzaniq!!
 
Eh Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na ardhi Naomba uilaani hii nchi isifanikiwe izidi kuwa masikini mara 800 hadi pale CCM watakapotoka madarakani Amen
 
Mijadara na fikra huru kuendelea kunyongwa ni kiashiria cha kupiga hatua nyuma katika kuifikia demokrasia ya kweli...!
 
Maadili ni zero, na ndiyo maana Zitto ndoa imemshinda kabisa, hivi inakuwaje mambo yao ya kibunge ya ndani (barua iliyoandikwa siri) anaiweka hadharani? Hivi haoni anajiabisha mwenyewe? Kwani bunge linaendeshwa na mtu au ni kwa mujibu wa sheria? Hivi mbona mi sioni tatizo kwa sababu kuna vifungu vimeoneshwa kabisa Zitto kavikeuka na hivyo kwa taratibu za bunge lazima ifanyike hivyo. Ila cha ajabu wachangiaji baadhi wanaropoka tu bila kuelewa maana yake. Kweli TZ uelewa bado sana tena sana.
 
Eh Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na ardhi Naomba uilaani hii nchi isifanikiwe izidi kuwa masikini mara 800 hadi pale CCM watakapotoka madarakani Amen
Mungu wetu wa Mbinguni akulaani wewe mara 800 mpaka kizazi kilichopo cha upinzani watakapoacha kuwa wanafiki na kusimamia iliyo kweli. Wlisema mamvi ni fisadi, walisema atakaye muunga mkono mamvi apimwe akili, walisema achomwe moto, walimalizia kwa kusema eti ni heshima kwa mungu kumsema mamvi ni fisadi, ila hao hao wakaja kugeuka na kusema kuwa siyo fisadi na malaika mtakatifu toka mbinguni baada ya wao pia kupewa hela.
Mungu ibariki CCM, Mungu mbariki Dr Magufuli.
Nchi hii haitalaaniwa milelele.
 
Naomba kujua kama kuna radio inarusha matangazo ya moja kwa moja toka bungeni wakati nakua kabla TV asijaja tulikuwa tunasikiliza radio Tanzania napendekeza mfuo huo ujirudie.
 
Back
Top Bottom