farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 698
Dodoma pamekuwa peponi!!!?Tukishafika dodoma tutatoa ufafanuzi
Dodoma pamekuwa peponi!!!?Tukishafika dodoma tutatoa ufafanuzi
Hata Mimi nimeshindwa kuelewa.Lakini Zitto ni mchumi mbobezi sidhani anaweza kosea kwa kiwango hicho.labda mtaalam mwingine atueleweshe ni vipi supply ya dollar ikishuka thamani ya shillingi itapanda.Hapa Zito naona kama amechanganya kidogo, anaposema, 'Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye Akiba ya Fedha za kigeni ya Tanzania. Ama Serikali kupitia Benki Kuu inapunguza Akiba ili kuibeba Shilingi isishuke thamani au Akiba imetumika kwa matumizi ya kawaida. Serikali haina budi kutoa maelezo ya kina. Huwezi kupandisha thamani ya shilingi kwa kupunguza akiba ya fedha za kigeni. Utapandisha shilingi kwa kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni.
Mkuu Zitto alidanganyaje kwenye VAT?,.Mbona Ndulu alisema vat itakatwa kwa mwananchi na sio bank husika.zito acha kudanganya watu kama ulivodanganya kwenye VAT on bank charges..unachoongea sio sahihi.
foreign reserve balance is direct proportional to thamani ya shilingi
Umekosoa nini hapo mkuu?Hapa Zito naona kama amechanganya kidogo, anaposema, 'Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye Akiba ya Fedha za kigeni ya Tanzania. Ama Serikali kupitia Benki Kuu inapunguza Akiba ili kuibeba Shilingi isishuke thamani au Akiba imetumika kwa matumizi ya kawaida. Serikali haina budi kutoa maelezo ya kina. Huwezi kupandisha thamani ya shilingi kwa kupunguza akiba ya fedha za kigeni. Utapandisha shilingi kwa kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni.
kwenye VAT zito aliaminisha wateja kuwa watachajiwa 18 percent of the transaction amount as VAT...assuming umewithdraw sh 1,000,000 then utachajiwa sh 180,000 as a VAT charge...upotoshaji wa hali ya juu.Mkuu Zitto alidanganyaje kwenye VAT?,.Mbona Ndulu alisema vat itakatwa kwa mwananchi na sio bank husika.
Mimi sio mchumi lakina unaposema ni direct proportional unamaana kwamba foreign reserve inapoongezeka na thamani ya shilingi ya Tz inaongezeka na kinyume chake ni sahihi.Sasa unamaana kwamba fedha zetu zimepungua(zimeshuka) hii kiuchumi imekaa aje mkuu tusaidie tusio wachumi.
Soma link nzima then uje na ukweli wote mkuu upinge hoja kwa fact mkuu.
Namalizia kusema mie sio mchumi mkuu.
Mbona sioni wataalamu wa uchumi wakichambua vizuri hii mada?
ina maana humu hakuna wachumi?
Yeyote aliyesoma Uchumi atueleze
zito acha kudanganya watu kama ulivodanganya kwenye VAT on bank charges..unachoongea sio sahihi.
foreign reserve balance is direct proportional to thamani ya shilingi
Mkuu Zitto alidanganyaje kwenye VAT?,.Mbona Ndulu alisema vat itakatwa kwa mwananchi na sio bank husika.
Mimi sio mchumi lakina unaposema ni direct proportional unamaana kwamba foreign reserve inapoongezeka na thamani ya shilingi ya Tz inaongezeka na kinyume chake ni sahihi.Sasa unamaana kwamba fedha zetu zimepungua(zimeshuka) hii kiuchumi imekaa aje mkuu tusaidie tusio wachumi.
Soma link nzima then uje na ukweli wote mkuu upinge hoja kwa fact mkuu.
Namalizia kusema mie sio mchumi mkuu.
Tatizo la kutofanya kazi.Zitto alidanganya watu ukitoa 10000 utakwatwa 1800 ya VAT.. Je ni kweli?
Aaaaah Mkuu nilikuwa nafurahisha baraza tu!Uvivu.
Good!Tatizo lenu hamsomi Daily News . ..
Hili jambo lilifafanuliwa jumatano ya wiki iliyopita kwenye gazeti la dele nyuuz na gavana wa benki kuu.
Au mnataka lifafanuliwe kwa njia ya simu?
Umeaona kiongozi wangu eeeh? yaani sisi wa-Tz bwana sijui tuna matatizo gani? Yaani huwezi kupata mchambuzi ambaye anaweza kwenda deep kabisa na kutueleza madhara ya akiba kubwa au ndogo ya fedha za kigeni kwenye uchumi wa nchi. Watu wanaishia kumsakama Zitto tu bila ufafanuzi. Natamani mjadala huu tuwaalike jirani zetu kutoka Kenya labda watasaidia!!Mada nzuri ila wachangiaji na wajuzi wa masuala ya uchumi wapo shallow sana
Mkuu hiyo signature yako nusura inivunje mbavu, nilipokumbuka mstaafu anasema wazee ni baraka ya chama, mwenzake anasema haya mazee yalaaniwe kabisa ndiyo yaliyotufikisha hapa!!Zitto alidanganya watu ukitoa 10000 utakwatwa 1800 ya VAT.. Je ni kweli?
Mie naona wewe ndio umechanganya kidogo. Hii ni simple economics. Kama demand ya dollar inakuwa kubwa kwenye mzunguko ina maana shilling itaporomoka. Kuzuia hilo lisitokee, unaongeza supply.Hapa Zito naona kama amechanganya kidogo, anaposema, 'Kuna jambo kubwa linaendelea kwenye Akiba ya Fedha za kigeni ya Tanzania. Ama Serikali kupitia Benki Kuu inapunguza Akiba ili kuibeba Shilingi isishuke thamani au Akiba imetumika kwa matumizi ya kawaida. Serikali haina budi kutoa maelezo ya kina. Huwezi kupandisha thamani ya shilingi kwa kupunguza akiba ya fedha za kigeni. Utapandisha shilingi kwa kuwa na akiba kubwa ya fedha za kigeni.
Umeaona kiongozi wangu eeeh? yaani sisi wa-Tz bwana sijui tuna matatizo gani? Yaani huwezi kupata mchambuzi ambaye anaweza kwenda deep kabisa na kutueleza madhara ya akiba kubwa au ndogo ya fedha za kigeni kwenye uchumi wa nchi. Watu wanaishia kumsakama Zitto tu bila ufafanuzi. Natamani mjadala huu tuwaalike jirani zetu kutoka Kenya labda watasaidia!!
Nikisoma hoja yako yoote inaonekana unamuunga Zitto. Yeye kasema pesa zimeenda kwenye matumizi mengine. Kwahiyo ndio unachoeleza.Mkuu Zitto unaweza kuwa mkweli au sio
Ndani ya utawala huu mtakubaliana na Mimi kwamba Rais Magufuli amebadilisha systematic ruling tofauti yake na Jk ni kwamba Jk alikuja kuendeleza system iliyowekwa na mkapa!!
Lakini Magufuli anadeal na over ruling system
Kwa kufanya hivyo kumefanya watu wanao taka kuwekeza Tanzania kuimulika Tanzanian kwa hicho la tatu!!
Mfumo wake wa kuanza kuwabana wakepa kodi kunawafanya wawekezaji wa ndani na nje kuangalia kwa umakini ni wapi wawekeze ambapo kuna less opportunity cost kwa sababu watalipa kodi effectively!!
Hivyo inawezekana pesa hizo ziliingizwa kwa mzunguko ili ilikuokoa kiasi cha pesa either zilizofichwa nje ya nchi kuanzia Magufuli alipoingia Au katika uagizwaji wa sukari
Ili swala ni la kawaida kabisa lilitokea Russia kipindi putin anaingia mwaka 2000
pia Nigerian wakati Bohari anaingia mwaka Jana!!
Ila inabidi tu tukubali kwamba tupo katika recision period !!
Uwezi kuwa na wasiwasi hata kidogo kama upo kwenye uchumi wa nchi ambao almost within 8-10 months ni expansion period kama ilivyo Tanzania