Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,081
- 39,006
Wala haupo maana ulishafutwa, nashangaa mpuuzi anayedhani unaweza kutenganisha wanasiasa na ushirikina. Waulize watu wa RUKWA na wa Bagamoyo jinsi wanasiasa wanavyopishana kutafuta huduma.Msitar unaotenganisha wanasiasa na ushirikina ni mwembamba mno.