Zitto Kabwe, ilikuwaje ACT ikapata Mbunge mmoja?

Lumumba buku 7 mlikuwa watetezi wa Zito..sasa alipomkoa dikteta naona mmeamua kumshambulia..vijana wa lumumba vigeugeu na wanafiki sana
Kweli mkuu na hawa jamaa wa lumumba ndo wanaturudisha nyuma unakuta ni kijana lakin anaakili za kizee kabisa ,anajifikiria yy hafikirii watoto wake wataishije hapo mbele,,, kweli buku7 zinatuharibia nguvu kazi,,,
 
Na ilikuwaje ccm pamoja na ukongwe wake katika siasa za bongo itumie vyombo vyoooooote vya dola kuchakachua kura ili iendelee kubaki madarakani?
 
Dont make noise improve your argument..... kujua kusoma na kuandika haitoshi sasa hv Magu anataka wasomi kwenye serekali yake sio wapiga kelele...... angalia utakosa hata ukatibu kata!!!!?
 
PhD zenyewe za kupeana watu hata kingereza hawajui... Zitto mmoja na combination ya Madaktari na Maprofessa 20 wa CCM
Hivi Professor ama Daktari wa falsafa wa Urusi ama China asiyejua kiingereza ni feki ama naye amepeana hiyo PhD ama uprofesa? Hoja yako ingekuwa na nguvu kama angekuwa na PhD ya lugha ya kiingereza halafu hawezi kutumia lugha hiyo...!
 
Back
Top Bottom