Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

[quote uid=14652 name="bernardp" post=20306380]Kwa kifupi Mhe. Zitto Kabwe anataka rais aondolewe madarakani. Mwenye huo wajibu kwa sasa ni wawakilishi wa wananchi kupitia Bunge la JMT na si vinginevyo. Ukitaka wananchi walianzishe, hapo unaikaribisha ICC mapema asubuhi, na uwezekano wa kuifanya hii nchi ifanane na DRC, Burundi au Somalia.[/QUOTE]<br /><br />Wewe unavyoona kwa bunge hili kuna uwezekano wa kumuwajibisha rais kupitia bunge....!!??<br /><br />Ukilitazama bunge hili.....

Labda yule mdada Naibu speaker asiwepo mle bungeni
 
CCM zamani sana ilishaishiwa pumzi za kuongoza taifa hili....tatizo tu hatuna upinzani makini wenye ajenda za maana za kutufikisha nchi ya ahadi......

Kila nikitazama safu ya upinzani wanaotaka tuwakabidhi kijiti ndio nazidi kuwa na mashaka na kuihurumia Tanzania......
Hata Fahmu Dovutwa humuoni?
 
Huyu katoka kwa mkuu wa mkoa na sasa yuko kwa raisi. Ana kakikundi kake huyo. Kazi ya hawa ni kununua propaganda kwa watu binafsi na kuziuza kwa umma kwa malengo ya watu binafsi
Msikilize vema mkuu pamoja na kuwa una damu ya Lumumba
 
NDUGAI HUPO WAPI?
SEMA NINI TUFANYE KUOKOA NCHI.
WATU WAWILI WASITUARIBIE NCHI.
Safari hii hamna pa kukimbilia, mtaisoma namba vilivyo, mmesahau kuwa huyo pia ni mpiga VIBOKO mashuhuri, labda mkimbilie kwa makamo wake! Hakuna poo mpaka mchezo unaisha
 
Tunawasikiliza nyie wawakilish wetu mnatuletea aproach gan ya kumkabili huyu uchwara
Kuna ka kauli mbiu wakati wa vita ya kagera askari mmoja alikuwa akianikiza kwamba "apigwe nduli…… wanajibu apigweee! "
 

Huyo zito kwa kumbukumbu yake, ni rais yupi anayemfahamu kwamba alikuwa mnyenyekevu kwa wananchi? Yupi? Mtu akianza ooh! baba wa taifa alisema, ooh rais dikteta. Mbona miaka yote alikuwa anamkwepa Kikwete na kuishia kumtishia Pinda? Unafiki!
 
Mhubiri 7:8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.

Ulianza vibaya, ila umemaliza vema.
 
hahahaha Zitto huyu aliyeshindwa kumwajibisha Mbowe atamuweza Rais?
Ni Zitto huyu aliye wakimbia polisi kahama?
 
Nina imani kuwa sasa watu watakumbuka operation UKUTA. Operation ile ingefanyika haya yote yasingetokea.
 
Back
Top Bottom