Zitto Kabwe: Fedha za Marekani ni porojo, Bajeti ya mwaka huu hakuna hata senti ya kutoka Marekani

labda Kitabu cha ACT
Ni wakati wa mbowe kuitafakari kauli yake ya kubadili gia angani kama ina nafasi kwenye ilimwengu wa sasa wenye maana ya kidemokrasia. Gia ya Mbowe ilibadilishwa angani wakati wa harakati za kimpata mgombea urais ndani ya CHADEMA na sasa madhara yake hayafichiki. Mbowe, Mbowe, Mbowe hakika usaliti wa chama utakugharimu maishani.
Yaani Kitendo cha mbowe kula matapishi kinamgharimu mpaka leo chama kimekosa mwelekeo kila anapogusa hapashikiki na bado ndiyo kwanza JPM hajamaliza hata mwaka mmoja.
 
Tuliaminishwa kuwa tanzania haiitaji misaada ya kutoka nje na humu ndani kuna watu walitokwa mapovu kuwa serikali inajitoshereza kwenye makusanyao yao ya kodi ya kila mwezi
 
Serikali ya Marekani haiwezi kutoa fedha kwa serikali ambayo inapiga marufuku uhuru wa watu kuandamana kwa amani, na kusema hisia zao. Mark my words... tutasubiri sana....
Hilo nalo neno pia
 
Nkajua bse yuko nje ya bunge basi atakuwa kimyaa.
Anyway Msigwa inampasa kulitolea maelezo ilo ili tujue mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom