Eti kitabu wanapewa wabunge liongo hili kwanza halipo bungeni halafu linasema litapewa bungeni.
Kwahiyo kuwa nje ya bunge ndo huna haki ya kukipata kitabu?mbona posho wanapata au chama kimekufanya uwe kipofuHicho kitabu atakipata wapi wakati yupo nje ya Bunge...
Kama ni uharibifu wa lugha, huu sasa umekolea kupita kiasi.Hawamu hii tutaona mengi
Hivyo vitabu lazima wapate hata asipoenda bungeni.mfano sanduku la postaHicho kitabu atakipata wapi wakati yupo nje ya Bunge...
Leo wametucheleweshea posho au nyie mmeshapewa?Eti kitabu wanapewa wabunge liongo hili kwanza halipo bungeni halafu linasema litapewa bungeni.