Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,881
- 2,539
100% ni bora tu uishi kuisadia familia yako zaidi ya kufa kumpigania huyu muhuni na wenzake kama yeye na kufariki.Shida ipo hapo..sio kama hatutaki kupambana ila tatizo hata tunayepambania achukue madaraka utofauti wao ni rangi za chama tu ila ni wale wale