Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,199
- 80,266
Allah Akbar !!... Ule wakati Sasa unakaribia
Ni Mwanasiasa Nguri , Mwenye Misimamo Mkali na aliyeamua kua sehem ya historia ya Mabadiliko , Zitto Kabwe, akinukuu Maandiko Matakatifu Toka katika Quran Takatifu , amewasihi Watanzania wote nchini kua katika kuyatafuta mabadiliko ya kweli na thaman ya kura ya Mwananchi
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni Lazima Watanzania kua tayari KUFA yaan kupoteza Uhai wao Kwa watu wachache hata kama wao haitawanufaisha Bali msingi wa mapambano haya ,uje kua na manufaa Kwa vizazi vijavyo.
Rai yangu.
Ndugu zangu Wazanzibar na Bara, Quran tukufu inakemea Uonevu, Dhuluma, Wizi Kwa aina zake zote , yamfaa nini Mwanadamu kuishi huku Jirani yake ametekwa, kauwawa, yakufaa nini kufurahia Maisha ikiwa Kura yako unayoamini itakuletea Kiongozi unayemtaka inapuuzwa ??
Pale Algeria, Misri , ni Vijana wawili tu waloamua kuyatoa Maisha yao Kwa faida ya Taifa, na Leo hii Kizazi kilichopo kinanufaika.. Mh Zitto Zuberi Kabwe anapohimiza kukubali Kufa kidogo Kwa ajili ya Wengine , amezungumza Kwa kuiwazia Pepo na sio Maisha yake ya hapa Duniani!!.... Hata lini Upinzani Zanzibar
mtadhulumiwa na akina JECHA??.