Mimi nmeshindwa kumuelewa zitto,kwanini anajaribu kuonesha kuwa UKUTA Si nzuri Kama Hiyo operesheni ya linda demokrasia??kuna shida hapa,,shida Ikwapi Kama angeunga mkono hii operesheni?? Au akanyamaza,,Kwani imekiuka katiba??,na ukiangalia Lengo LA hizi operesheni ni kudhibiti ukiukwaji WA katiba,,lakini yeye kaonesha Yuko tofauti na chadema bila kuainisha ni kwanini anapinga wakati Lengo hapa ni moja.Kweli zito huwa kuna wakati anakuwaga na ajenda ya siri,,wakati mwingine huwa simwamini.ukisoma vizuri hii taarifa yake utagundua kuwa huyu siyo mtu wa kumuamini Sana haswa kwenye mambo yenye mvutano na serikali iliyoko madarakani.
Hua najuliza Mara nyingi, Hawa wanasiasa hasa Wa upinzani, wana nia ya dhati kweli ya kushika dola, kwanini wasiunganishe nguvu na kua chama kimoja?
Wapinzani wanatakiwa kua nguvu Moja
Sauti Moja
Sera moja yenye manufaa kwa nchi yetu