Mkuu unapenda avatar ya chura tuuMkuu samahan hio avatar ni isis yawowo wale watu wakatili wanaochinja watu na kuchoma watu wakiwa hai au inamanisha kingine mkuu
Avatar nyingine sio jaman duuh...
nifah au
niliona uko sawa, kumbe mwenyewe uliyemlenga kavaa wigi na dela
imenidisappoint sanaHewaa ndiyo huyo huyo.....sasa nikashangaa kuikuta kwa mtu mwingine....tena kijana wa kiume.....
Inakuwaje mtoto wa kiume utumie avator ya kike.....au kuna kitu kinaendelea kati yao.......!!!
Any way.....is non of my bussiness....
imenidisappoint sana
Maisha ya mwanasiasa si sawa na mwanamuziki.Kuwa muwazi acha uchimbi.Msataarabu utamjua tu sio mimba tangu imeingia siku ya kwanza itapigwa picha madoido nk. Utandawazi usitufanye tukarukwa na akili. Hongera hasa kwa ustaarabu na mtoto wa kike .Vijana wengine mashuhuri acheni ushamba.
NawaonaaaaaaMawazo yetu yame coincide
Tupeni takwimu za kalenda tuone kama anatumbukia kwenye utoto haramu.
Na yule mototo wake wa yule binti wa pale UDSM?? Yeye anaitwa nani??? Yaani wazinzi bwana we acha tu, ndiyo maana tunasema Tz hakuna upinzani ni unafiki tu
Vijana wengi huwa wanacheza kamchezo bila matarajio ya kuoana na ikitokea ujauzito usiotarajiwa basi aibu hufichwa kwa ndoa.Hivi ni kwa nn siku hizi watoto hupatikana 3-4 months after ndoa?
Lengo kuu ni kukuprovoke,haiingii akilini hadi mtu anakuquote,anaandika reply hadi anapost asiione ID yako.Taratibu mkuu, nani unamuita binti?? Usiangalie avatar tu, uwe unaangalia na ID
Kwanini hajampa la mama yake zitto au ndo ile wanasema majina yanafuataga tabia
Washawaita watoto wao majina ya Musa, lakini tunahenyeshwa na farao kupita maelezo!!Hongera sana. Una IQ kubwa sana. Sisi wengine tumezoea kuwapa majina tu ilimradi jina. Hongera kwa kudhamini ukombozi wa Bara la Afrika.
Next time vile vile lipo jina la Nyerere, Tanganyika, Kikwete, Mkapa, Mwinyi nk.
Uhalali wa mtoto ni mpaka mimba itungwe akiwa kwenye ndoa. Kinyume chake ni haramu tu huyo.Kwanini hajampa la mama yake zitto au ndo ile wanasema majina yanafuataga tabia
ISIS NI GODDESS. ..please Google OSIRI ISIS NA HORUS. ...ISIS IS A GODDESS OF 10000 NAMES. .Mkuu samahan hio avatar ni isis yawowo wale watu wakatili wanaochinja watu na kuchoma watu wakiwa hai au inamanisha kingine mkuu
Avatar nyingine sio jaman duuh...
I hope nimekujibu ..Mkuu samahan hio avatar ni isis yawowo wale watu wakatili wanaochinja watu na kuchoma watu wakiwa hai au inamanisha kingine mkuu
Avatar nyingine sio jaman duuh...