Zitto Kabwe aomba RADHI baada ya kuandika ANAJUTA kuzaliwa TANZANIA

KUNA KITU INAITWA GARBAGE IN GARBAGE OUT,
KAMA VYAMA VYTU VIMETULETEA WATU DHAIFU TUWACHAGUE HATUWEZI KUPATA MAHIRI KUTOKEA DHAIFU
 
FB_IMG_1494493835069.jpg

Matokeo Ubunge wa Afrika Mashariki
Kura zilizopigwa ni 296
Kura halali ni 296

Matokeo ya kura

Prf. Abdallah Safari 35
Josephine Lemoyan 219 ✔✔
Lawrence Masha 44
Pamela Maasay 200 ✔✔
Salim Mwalimu 54
Ezekiel Wenje 34
 
Nimesema kwenye posts zingine zenye kufanana na hii kwamba wenye kustahili lawama kama hivyo ndivyo basi wawe ni chadema wenyewe na sio Wabunge wa ccm. Najua kuna wanachama wengi wa cdm wenye uwezo lakini inawezekana hawakushiriki kikamilifu ktk mchakato aidha kwa kuhofia kushindwa kutokana na UKANDA au matakwa ya vigogo ndani ya chama. So demokrasia ktk chaguzi za upinzani bado ni kitendawili.na itawachukua miaka makumi kuweza kukitoa Ccm madarakani. Zitto akumbuke alitokaje cdm.
Kwahiyo wewe umeona wawili wa Chadema hujawaona 6 wa CCM au kina Nkuhi wewe unakubaliana nao kwa vile tu wametoka CCM?
 
Waliwachagua wasio na uwezo kama unavyosema kwa sababu walipeleka Bungeni watu wasio na uwezo. Katika hili Vyama vyote vinalaumiwa kwa kutokuwa makini kuteua aina hiyo ya watu mnaowapenda
 
Ina maana Chadema walikosa wanawake wenye elimu na weledi mzuri kugombea.
Chadema wajilaumu wenyewe huwezi ukateua mtu ukatarajia awe msindikizaji, Chadema walitakiwa wawe na tahadhali sio kubahatisha.
CCM imeona imeikomoa Chadema lakini imekomoa taifa kwa ujumla.
 
It's true hii kauli inaweza kum-cost hapo baadae akiamua kugombea urais.
Tangu lini wapigakura wa nchi hii wanaangalia mambo sensitive kama hayo? Mlipigwa nyumba, mkapigwa meliand you didnt care leo mje mhoji kauli kama hiyo?
 
Kwahiyo wewe umeona wawili wa Chadema hujawaona 6 wa CCM au kina Nkuhi wewe unakubaliana nao kwa vile tu wametoka CCM?
Mkuu lawama zimekuja zaidi baada ya uchaguzi huu wa chadema. na Zitto amesikitika na maamuzi ya uchaguzi huu. Wenje alisema Jana wakati anajibu swali kuwa wako watanzania wengi ambao ni intellectual na competent kuhimili Ishu zote na maslahi ya nchi. ikumbukwe ukiwa eala sio mwisho wa maamuzi ni lazima serikali unayoiwakilisha ishiriki kikamilifu katika maamuzi. pia kuonekana wewe ni competent sio kupiga mikelele na kutokwa na mapovu eti ndio utaonekana ni strong representative wa nchi. waacheni akina mama hao wakachape kazi. kingine kilichowamaliza akina Wenje ni aina ya upinzani waliouonesha wakati waliopata nafasi.
 
Zito anaweweseka wakati Mbowe anagurahia Pamela kupeta.

ndugu zangu mnafanya utani lakini naamini watu kama wewe na CCM wenzako hamna uwezo wa kupeleka watoto wenu Breaburn au IST..kwa hiyo wataambulia shule za kata..kama wa kwetu na mwisho wa siku watakuwa washangiliaji wa CCM kama baba na mama zao! Na kila siku inakuwa afadhali ya jana!

Linapokuja swala la kitaifa, tuerevuke. Ndo maana EAC waTanzania tumekuwa watu wa kulialia. Ni kwa sababu ya viongozi wetu wenye vichwa vibovu. Excuse my strong language. Nina experience internationally. Hakuna nchi inayofanya utani kwenye siasa za kimataifa. Ndo maana unakuta hata kama mtu ni hasimu wa Kiongozi wa nchi..lakini unakuta mtu huyo kateuliwa ubalozi au nafasi kubwa UN (amependekezwa). Ni kwa sababu ya kile anachoweza kukifanya kwa taifa lake.
 
ZITTO KABWE ,WAOMBE MSAMAHA WANAWAKE NA WASICHANA.
Mbunge wa kigoma na mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe ametoa maneno ambayo yanawadharirisha wanawake na kina Dada watanzania.Zitto ametoa maneno ya dharau kwa wanawake wawili wa chama cha chadema ambao walichaguliwa kuwa wabunge wa bunge la Africa mashariki wakitokea CDM.
Zitto anasema nchi nyingine za EA zimepeleka watu makini katika bunge hilo.Akitoa mfano anasema Rwanda imepeleka Wazir Mkuu wa zamani.Kenya imepeleka Wazir wa zamani wa EA.Lakin bunge la Tanzania limechagua watu dhaifu na akaenda mbali zaidi akasema anajuta kuzaliwa Tanzania.
Ingawa baadae aliomba msamaha.Mm anasema kwamba Zitto kabwe awaombe msamaha pia wanawake waliochaguliwa Jana kupitia CDM kwani amewadharirisha kwa kusema kuwa hawana uwezo.Mpaka wanawake hawa wakaletwa na CDM basi CDM ilishajua uwezo wao.Inakuwaje yeye aseme hawana uwezo?Tukirud nyuma mama yake Zitto alikuwa Mbunge wa vitu maalum wa CDM ,je alikuwa hana uwezo?Mbona hakusema kuwa mama yake hana uwezo?Au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?Zitto kabwe chama chake kilimpitisha Anna Ngwira kugombea urais wa Tanzania ,mbona sisi wa Tanzania hatukuoji?Kwanini yeye leo hawadharau wanawake wengine ?Kwanini Zitto Kabwe usihoji uwezo wa hao wanawake waliochaguliwa baada ya utendaji wao?Je,Rwanda kumteua Wazir Mkuu wa zamani uwezo wake umeupima wapi?Ushauri:Ndugu Zitto kabwe hivi sasa umekuwa MTU unayekurupuka sana.Unajiona wewe ni bora sana kuliko wengine ,lakin napenda kukufahamisha kuwa kuna watu ni bora ,wanauelewa mkubwa kuliko unavyofikiria.Na pia utambue kuwa mfumo dume umepita na wakati ndio maana hata mama yako alikuwa Mbunge,na Tanzania wanawake wengi ni viongozi na wanashika nafasi mbalimbali ikiwemo makamu wa Rais.Waombe msamaha wanawake.
 
mhh the way ulivyoiandika mpaka nimepata uvivu wa kuisoma
 
Mkuu lawama zimekuja zaidi baada ya uchaguzi huu wa chadema. na Zitto amesikitika na maamuzi ya uchaguzi huu. Wenje alisema Jana wakati anajibu swali kuwa wako watanzania wengi ambao ni intellectual na competent kuhimili Ishu zote na maslahi ya nchi. ikumbukwe ukiwa eala sio mwisho wa maamuzi ni lazima serikali unayoiwakilisha ishiriki kikamilifu katika maamuzi. pia kuonekana wewe ni competent sio kupiga mikelele na kutokwa na mapovu eti ndio utaonekana ni strong representative wa nchi. waacheni akina mama hao wakachape kazi. kingine kilichowamaliza akina Wenje ni aina ya upinzani waliouonesha wakati waliopata nafasi.
Sasa tatizo liko wapi kama akinamama wanakwenda kuchapakazi.
 
Kweli tunakubali kujiaibisha mbele ya mataifa ya nje kwa ajili tu ya personal chuki ama chuki za kichama?
Kweli tuwalaani wabunge wote waliowakataa wenye uwezo na kuwaweka wasio na uwezo kwa ajili ya kutoishi kizalendo. Mushindwe daima katika tabia hiyo.
 
Hivi wa kulaumiwa ni nani hapo? Ma-ccm ambayo yaliamua kuwapa kura hao inexperienced candidates au ma-cdm ambayo yalipitisha majina ya incompetent na inexperienced candidates?

Hivi, hao ma-cdm yangeteuwa six of the best candidates, ma-ccm yangeweza vipi kupigia kura na kupitisha watu incompetent?

Poor Zirro Kabue!!
 
Back
Top Bottom