Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,998
Tundu anazidi kudhalilika, Accacia wamempiga chini na sasa wananchi wanamwadhibu.
Ilani ya ACT tunaifanyia kazi ndugu mojaKupitia akaunti yake ya twitter, Zitto Kabwe ametoa kauli hii;
View attachment 545242
Hii kauli imekuja baada ya kujumuika na Balozi wa China nchini katika mchakato wa uwekezaji wa viwanda katika Mkoa wa Kigoma.
View attachment 545246
Tunahitaji Upinzani makini si Mpinzani makini!Zitto ni upinzani makini pekee aliyebaki
Jenga hoja kutokana na hoja mezani na si kuleta mambo yasiyohusika,hii ni dalili ya jazba.Kujificha nyuma ya kiti cha spika hadi usiku wa manane kumbe ulikuwa uhuru?
Msameheni bure tu mtu kabaki yatima ndani ya chama atafanyeje mnafikiri
Tundu Lisu namlinganisha na wale wa kujitoa mhanga. Haiwezekana ukasema nchi na wananchi wako wanyimwe misaada na wataabike na hata kufa kisa tu siasa.Lissu anajionaga kama Mungu Mtu.
Hhhaah Wananchi wake tu wa kule Ikungi hawana Maji.
Sasa hapo hoja aliyoileta zito iko wapi. Hebu wewe iseme!Jenga hoja kutokana na hoja mezani na si kuleta mambo yasiyohusika,hii ni dalili ya jazba.
Nina wasiwasi Lissu analiwa na mmoja wa mabosi wa ACACIATundu anazidi kudhalilika, Accacia wamempiga chini na sasa wananchi wanamwadhibu.
Unaishi dunia gani?Tundu anazidi kudhalilika, Accacia wamempiga chini na sasa wananchi wanamwadhibu.
Mahayawani katika ubora waoHayawani ni yeye huyu aliyeenda kujificha wakati akitafutwa halafu leo anadai nchi ni huru! Njaa mbaya sana.
Hawa wahuni ambao kwa hakika kabisa ni ndgu zetu tuwaadhibu vipi na tutatumia njia ipi?Ni akili ya mpuuzi tu inayofikiri inawezekana mataifa ya nje yatasaidia wapinzani kuiadhibu chama cha WAHUNI CCM.
Wote waliomkubali Lowassa baada ya kumtangaza kwamba ni fisadi kwenye list of shame walipoteza credibility zote.Tunahitaji Upinzani makini si Mpinzani makini!
Labda alijificha kukwepa mkono wa dola kwa makosa aliyoyafanya.Hayawani ni yeye huyu aliyeenda kujificha wakati akitafutwa halafu leo anadai nchi ni huru! Njaa mbaya sana.
Kwa hiyo hizo kelele zake kwa mabwana zake zitasaidia nini?Ina Mana Zito Hajamwelewa Lisu Au Jeuri Na Usaliti?Yanayoendelea Nchn Haoni?Wapi Bunge Live Wapi Uhuru Wa Habari?Wapi Demokrasia?Katiba Imekanyagwa Haoni?Yy Mwenyewe Uhuru Wakujieleza Amebakinao Kwnye Facebook