Jay Jay Nationalist
Member
- Feb 11, 2017
- 43
- 112
Huu ni uhayawani. Hii ni nchi huru. Kukaribisha wageni kuingilia mambo yetu ni upuuzi na umazwazwa. Tupambane ndani kuleta demokrasia. NDANICHADEMA waitaka jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada Tanzania kutokana na ukiukwaji wa demokrasi mfano, kukamatwa kwa viongozi wa upinzani.