Zitto atoka kivyake: Hatafika

Hyo jamaa yenu sahizi hapumui. Zitto kaamua kumkalia kooni. Na kwa historia, Zitto akiingia vitani mpinzani wake hajawahi kupona. Kwahiyo JPM ajiandae. Zitto ameshamwambia ajiandae kuwa Rais wa term moja.

Udictata apeleke Rwanda
 

Attachments

  • 1466086129221.jpg
    1466086129221.jpg
    20.9 KB · Views: 23
Mtoa mada anajaribu kumlilia Zitto awabebe UKAWA kwenye hoja zake, simple!
Mkuu sijasema ZZK abebe UKAWA. NImeeleza mipango thabiti ya UKAWA tofauti na anachofanya.

Nimesema hana back up, maana yake hana nguvu hiyo.
 
Daaaa watu mnajua jinsi ya kujipendekeza kwa wakubwa kwani zile nafasi 46 bado hazijajazwa? Muwacheni zzk aikosoe serikali maana yeye ni mbunge na ni wajibu wake
Hakuna asiyekosoa serikali hata kidogo. Ila kuna kukosoa na kulaghai watu. Anachofanya ni kupumbaza watu na kuwalaghai kwamba mawazo yake pekee ndo yanaweza endesha nchi.
 
Back
Top Bottom