cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 94,032
- 152,744
yaan sijui akili zako unawazaga nn, lol
yaan sijui akili zako unawazaga nn, lol
Hayati alikubalika wewe usingepata ubunge bila kukubalika na hayati ili akupigie debe.Shetani yoyote lazima nimchukue, na hiyo 2020 hakukuwa na uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, sasa ningeshindwaje uchaguzi?
Alimpeleka nani mahakamani zaidi ya kuswekwa wafanyabishara aliowachukia gerezani, tena bila kuhukumiwa? Ripoti ya profesa Ossoro aliyosimamia kuiandika ilimtaja Chenge, Yona, Karamagi nk, na akaagiza wakamatwe, je alithubutu hata kuwagusa?Kwani walikuwa hawapelekwi???? Mbona wengi walishitakiwa na ninyi hao hao mkasema walisingiziwa na matokeo yake wengi hao wezi wamerudishwa serikalini waibe na uhakika wizi umeongezeka na rais alikiri. Sasa unataka nini?
DuuuhMajini litutumbwe
Upumbavu wake upo wapi. Au kusema ukweli ndo upumbavuKatika wanasiasa wapumbavu Tanzania ni Zitto
Unauliza au unapigia jibu mstari?Hoja hapa ni kuwa alitumika na Tiss. Use ur brain
Wewe bishoo wa Kalebezo. Tunataka ukweliNa Zitto akithibitisha mtafanyaje zaidi ya kutia pamba masikioni?
Ukweli ni aibu.Wewe bishoo wa Kalebezo. Tunataka ukweli
Ndio ili tujue kama Tiss ni mbovuUkweli ni aibu.
Tumwemwona na kumsikiliza wote mwanzo mwisho..Nimeona mahala Zitto akitamka kwa kujiamini kuwa taifa letu lilifikia pabaya sababu Tiss ilitumiwa na watu wa serikali ili kutukana viongozi wastaafu na waiowastaafu.
Hapa alimaanisha wazi kuwa Tiss walimtumia Musiba.
Tiss ni idara ya serikali na sio mtu. Ni taasisi ya umma ambayo ikichafuliwa kwa tuhuma kama hizi hachafuki mtu bali ofisi ya umma.
Je ni kweli taifa letu linakuwa na idara kama hii ambayo inatumika kutukana viongozi?
Katiba Mpya ndio itakayoibadilisha TISS na sio porojo za Wanasiasa.Ndio ili tujue kama Tiss ni mbovu
Huyo anahamu ya kwenda kwa BabaNimeona mahala Zitto akitamka kwa kujiamini kuwa taifa letu lilifikia pabaya sababu Tiss ilitumiwa na watu wa serikali ili kutukana viongozi wastaafu na waiowastaafu.
Hapa alimaanisha wazi kuwa Tiss walimtumia Musiba.
Tiss ni idara ya serikali na sio mtu. Ni taasisi ya umma ambayo ikichafuliwa kwa tuhuma kama hizi hachafuki mtu bali ofisi ya umma.
Je ni kweli taifa letu linakuwa na idara kama hii ambayo inatumika kutukana viongozi?
Dhalimu alikugusa matundu yako yote,huna hamu naeTiss wa mwendo kasi, hao ni wale matiss walioingizwa kipindi cha dhalimu ili kumsaidia kufanya siasa chafu. Na hao ndio walifanikisha kuichafua hiyo idara ili kumfuruhisha dhalimu.
Ogopa sana kitu kinaitwa nerve....Nimeona mahala Zitto akitamka kwa kujiamini kuwa taifa letu lilifikia pabaya sababu Tiss ilitumiwa na watu wa serikali ili kutukana viongozi wastaafu na waiowastaafu.
Hapa alimaanisha wazi kuwa Tiss walimtumia Musiba.
Tiss ni idara ya serikali na sio mtu. Ni taasisi ya umma ambayo ikichafuliwa kwa tuhuma kama hizi hachafuki mtu bali ofisi ya umma.
Je ni kweli taifa letu linakuwa na idara kama hii ambayo inatumika kutukana viongozi?
Uchafuzi au uchaguzi?? Jamaa alivuna laana za watanzanua dhulma mbaya sanaWewe kushindwa uchaguzi 2020 isiwe sababu ya kumchukia hayati JPM.
Kwani membe alijitangaza wapi? Unazungumza vipi vitu pasina ushahidi basi nawewe ni TISS kwasababu unaweza kuhack na kutukana watuMusiba naye unadhani sio TISS au hujui tu au mpaka ajitangaze kama Membe
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hii vita vya ki fikra ni ngumu. Sisi wazelendo tunaamini wezi wapo ila ninyi mnaamini walionewa. Ingewezekana mfe wote mnaoshabikia weziAlimpeleka nani mahakamani zaidi ya kuswekwa wafanyabishara aliowachukia gerezani, tena bila kuhukumiwa? Ripoti ya profesa Ossoro aliyosimamia kuiandika ilimtaja Chenge, Yona, Karamagi nk, na akaagiza wakamatwe, je alithubutu hata kuwagusa?
Nadhani unaelewa kuwa zitto ni mwanasiasa mkongwe, anajua madhara yakuongea bila kutafakari kabla. Usimchukulie PoaNimeona mahala Zitto akitamka kwa kujiamini kuwa taifa letu lilifikia pabaya sababu Tiss ilitumiwa na watu wa serikali ili kutukana viongozi wastaafu na waiowastaafu.