- Thread starter
- #101
Hii kauli yako ya mwisho (bottom line) haina mashiko, ni kauli ya kibaguzi na ubinafsi ya; "Ulimwaga ugali jana na mimi leo namwaga mboga".
Unatakiwa uangalie maslahi mapana ya opposition in this time around, you need to bury the dagger.
Hakuna maslahi mapana ya upinzani hapo zaidi ya ubinafsi uliotawala. Tulitakiwa kufanya better 2015 wakati wananchi walikuwa na mwamko mkubwa wa Mabadiliko na si sasa. The voters are heartbroken kutokana na situation ya 2015