Zimbabwe: Watoto sita wafariki wakibatizwa mtoni

Msijifanye kudadavua usilolijua ni rahisi kila kubaini kuwa wewe ni bubu.
 
imani hizi zitatufikisha pabaya. Inabidi kila mtu kama hajasoma theolojia asiruhusiwe kuanzisha kanisa. Maana watu wanakuwa na tafsiri zao juu ya maneno ya Biblia.
 
Watoto kubatizwa kwenye maji mengi?

Nijuavyo, wanaobatiza kwenye maji mengi hubatiza watu wazima tu, wanaobatiza watoto wao hunyunyizia tu
 
Kweli hapa duniani dini ya haki na kweli ni moja tu, ambayo haina vituko na vibweka visivyoisha wala iyo dini haina brach zinazochipukia kila uchao, na wakuu wake wanaishi maisha ya kawaida mno,sio ya kifahari na anasa za kidunia, ,,,,,,
 
Back
Top Bottom