Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
Na CCM kuing'oa hapa TZ itakuwa kazi kweli kweli, si kwa sababu eti napendwa bali mizizi ya ufisadi haitakuwa tayari kung'olewa.
ZANU PF inaplay politics za miaka ya 60 - Colonialists, imperialists, the west etc. ndio maneno maarufu kwenye kitabu chao
ZANU PF inaplay politics za miaka ya 60 - Colonialists, imperialists, the west etc. ndio maneno maarufu kwenye kitabu chao