BuDDaH MBiSHi
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 483
- 499
TAIRI
Ni sehemu ya nje ya guruudumu
Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua:
6. Kukosekana kwa uwiano kwenye matairi(Incorrect wheel balance)
7. Bodi kutokuwa sawa (Incorrect body balance). Unakuta body liko upande au tenge hivyo uzito wa gari unakuwa upande mmoja hiyo kusababisha tairi la upande huo kuisha haraka.
LEFUSHA MAISHA YA TAIRI KWA KUFUTA HAYA.
Ni sehemu ya nje ya guruudumu

Sasa sababu zinazo athiri matairi ya magari zinawezakua:
- Namna ya ujazaji upepo. Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka.
- Barabara mbovu (Rough road). Unakutaka barabara kuwa chini ya kiwango na pia inakua na mashimo mashimo basi hiyo barabara ni rahisi sana kumaliza tairi za gari.
- Ubebaji wa mizigo unao pita kiasi. Upakiaji wa mizigo kupitiliza uwezo wa tairi za gari kubeba.
- Uendeshaji mbovu .Kumbuka hii ndio hutumiwa na watu wengi wasijue kuwa wana maliza matairi. Ikiwa dereva atafanya mambo kama yafuatayo:
- Mwendo kasi(over speed)
- Quickly starts and suddenly stops.
- Kugeuka ghafla kwa mwendo kasi(sharp turns at high speed.nk.
6. Kukosekana kwa uwiano kwenye matairi(Incorrect wheel balance)
7. Bodi kutokuwa sawa (Incorrect body balance). Unakuta body liko upande au tenge hivyo uzito wa gari unakuwa upande mmoja hiyo kusababisha tairi la upande huo kuisha haraka.

LEFUSHA MAISHA YA TAIRI KWA KUFUTA HAYA.
- Jaza upepo kwa kufuata maelekezo ya mtengenezaji.
- Epuka kuzidisha mizigo kwenye gari/weka mizigo kama anavyo elekeza mtengenezaji.
- Epuka hatari za barabarani
- Kagua tairi lako mipasuko
- Fanya wheel balance na wheel alignment. Naam kwa usalama wa gari na tairi ni muhimu pia unashauriwa unapofanya service ya engine yaani ndani ya km 3,000 hadi 5,000 unapaswa pia kufanya wheel balance na wheel alignment hii huitwa prevent maintenance.