6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,811
- 5,989
- Thread starter
- #141
Diplomasia haiendeshwi kienyeji hivyo mkuu.Rwanda ya kutwanga coz ina chokochoko
Hata Marekani na washirika wake pamoja na kuumizwa na kile kinachofanywa huko Ukraine lakini hawajaingia vitani kuitwanga Russia.
So kwanini sisi tufanye hivyo wakati wakongoman wenyewe wapo busy na kina Kofii Olomide?