Zijue nchi 20 tajiri Afrika-Tanzania pia ikiwemo hongera

View attachment 349072
1.Afrika Kusini
Pato la Taifa ni dola bilioni 576.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 47,190

2. Misri
Pato la Taifa ni dola bilioni 534.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 14,877

3. Nigeria
Pato la Taifa ni dola bilioni 521.8
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 32,386

4. Algeria
Pato la Taifa ni dola bilioni 272.5
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 192,500

5. Morocco
Pato la Taifa ni dola bilioni 168.9
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 19,160

6. Angola
Pato la Taifa ni dola bilioni 123.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 37,940

7. Sudan
Pato la Taifa ni dola bilioni 112.552
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 202

8. Ethiopia
Pato la Taifa ni dola bilioni 109
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,382

9. Tunisia
Pato la Taifa ni dola bilioni 104
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 7,198

10. Ghana
Pato la Taifa ni dola bilioni 82.65
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 8,113

11. Libya
Pato la Taifa ni dola bilioni 76.52
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 120,900

12. Kenya
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 53.40
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 5,541

13. Cameroon
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 48.14
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,353

14. Tanzania

Pato la Taifa ni dola bilioni dola 41.33
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4,758

15. Jamhuri ya kidemokrasia kongo
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 32.69
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 5,239

16. Botswana
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 29,707
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 7.993

17. Equatorial guinea
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 26,147
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4,027

18. Gaboni
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 24,571
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 2,470

19. Mauritius
Pato la Taifa ni dola bilioni 19,270
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,919

20.Namibia
Pato la Taifa ni dola bilioni 25,743
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 2,267

WA-DANGANYIKA UCHUMI MUNAO MUNAUKALIA. TANZANI NI NCHI TAJIRI

KATIKA BARA LA AFRICA
Wapi ile nchi ya maziwa na asali huko EA Rwanda?
 
Sidhani kama takwimu hizi ni current....Tanzania tupo 50 plus sasa hivi. Lakini utajiri haupimwi kwa kias cha GDP, na ndiyo maana utaona Botswana iko chini ya TZ lakini ukifika Botswana wananchi wana maisha mazuri zaidi. Pato la kila mtu Tanzania ni dola 1000 kwa mwaka tuko nyuma sana. Zambia wako juu ya Tanzania, japo kuna kila dalili hapo mbele tunaenda kuwa nchi tajiri sana hapa Afrika.
Mkuu hapo juu ni baran africa,, just baada ya Sudan kugawanywa ndio kwanza nchi za bara nzima zimefika 54 sasa kama Tanzania iko 50 plus kama unavyosema basi inaama Tanzania ni ya mwisho basi kabisa basi
 
View attachment 349072
1.Afrika Kusini
Pato la Taifa ni dola bilioni 576.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 47,190

2. Misri
Pato la Taifa ni dola bilioni 534.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 14,877

3. Nigeria
Pato la Taifa ni dola bilioni 521.8
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 32,386

4. Algeria
Pato la Taifa ni dola bilioni 272.5
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 192,500

5. Morocco
Pato la Taifa ni dola bilioni 168.9
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 19,160

6. Angola
Pato la Taifa ni dola bilioni 123.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 37,940

7. Sudan
Pato la Taifa ni dola bilioni 112.552
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 202

8. Ethiopia
Pato la Taifa ni dola bilioni 109
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,382

9. Tunisia
Pato la Taifa ni dola bilioni 104
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 7,198

10. Ghana
Pato la Taifa ni dola bilioni 82.65
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 8,113

11. Libya
Pato la Taifa ni dola bilioni 76.52
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 120,900

12. Kenya
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 53.40
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 5,541

13. Cameroon
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 48.14
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,353

14. Tanzania
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 41.33
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4,758

15. Jamhuri ya kidemokrasia kongo
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 32.69
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 5,239

16. Botswana
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 29,707
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 7.993

17. Equatorial guinea
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 26,147
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 4,027

18. Gaboni
Pato la Taifa ni dola bilioni dola 24,571
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 2,470

19. Mauritius
Pato la Taifa ni dola bilioni 19,270
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 3,919

20.Namibia
Pato la Taifa ni dola bilioni 25,743
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 2,267

WA-DANGANYIKA UCHUMI MUNAO MUNAUKALIA. TANZANI NI NCHI TAJIRI

KATIKA BARA LA AFRICA
Hapana nakataa tz imeipita Botswana..??
 
Sema watanzania
 
Pato la taifa hapo limepimwa kwa kuangalia GDP yaana mapato toka sector zote. Sasa ukiangalia nchi zinazoongoza ni zile zinazozalisha mafuta na madini lkn sehemu kubwa ya wazalishaji ktk sector hizo ni wazungu kwa hiyo impact ya uzalishaji inakuwa nje lkn wananchi wa Africa wanabaki maskini mfano mzuri Nigeria ni wazalishaji wakubwa wa petroli lkn wananchi wananunua petrol kwa bei kubwa sana.
Utajiri wa kwanza ni akili, vingine vinafata, wazungu wana akili ndio Maana wanakuwa matajiri, ili uweze kuwa ktk nafasi nzuri ya maisha, lazima uwekeze ktk shule kitu kinachofanywa na wazungu
 
Kwa nin mkuu? Marekani inaweza kujitegemea kwa almost kila kitu, najua unataka kuongelea trade deficit, hizi nchi za watu weupe ni wajanja sana, wana akili nyingi tofauti na tunavyofikiri, hiyo wameitengeza kwa sababu mbali mbali ikiwemo kulinda madeni yao kwa nchi wanazozidai either direct or indirect. Yan kwa mfano kama mm ni tajiri na nakudai ww masikin kwa fedha nilizo kukopesha ufanyie mambo flani, ili nisipoteze sana ukishindwa kulipa basi natengeza mazingira na ww unidai hata kupitia rasilimali zako ambazo sio fedha. Hivi hujajiuliza kwa nin Japan mojawapo ya nchi zenye trade surplus kwa muda mrefu, lakin ndio nchi mojawapo yenye deni kubwa sana, wale sio wajinga hata kidogo.
Mimi nimekuelewa sana na uko vizuri. unajuwa hizi takwimu unaweza kuamka ukadhani wewe tajiri. labda tuweke mfano mdogo tu. Kama kuna family 2 na zote zinapesa family moja ina Million 100 na family nyingine 200 tuseme zote zina watoto 10. Family yenye 100 inawapa wana family million 50 kwa matumizi yao. yenye 200 inasema pesa ziko ila tunaweka akiba tu lakini kinadharia kila mtu tukigawa utapata Million 20 ila hizi hazitoki pambaneni na hali zenu zitakuja cover madeni mzee akifa. wale wa Million 100 wanasema kila mtu chukuwa 5 mfanye mambo yenu muishi vizuri. sasa utasema wale wa 200 ndio matajiri wakati wana family hawana kitu. uhakika wale wa 100 wataishi vizuri. USA au sijui Japan pesa inarudi kwa watu ndio maana wanaishi maisha ya juu mishahara mikubwa. Utajiri upimwe na vipato vya watu, mishahara bora, Hospital bora, shule bora, maji safi, barabara nzuri na mengine mengi tu yanaomfamya mtu kipato cha mwezi kiweze kutosha mwezi mzima hata kama haja save. wenzetu income inatosha na ana save kidogo za vacation. Tujipime siku unapokea mshahara unatoa gharama zote na inabaki kidogo huo ndio utajiri mengine ni upuuzi tu.Na sio zinawatosha tu zinatosha kuishi maisha bora.
 
Back
Top Bottom