Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,692
- 17,899
Kwa mujibu waaaaaa!!!!Mmiliki wa KGB, CIA, FBI, MOSAD, ISIS, wakina alqaida, Alshabab, na vikosi vingine vya siri vyote vinamilikiwa na Mtu mmoja na wana mission zinazofanana, kwa nje wamejibrand kwamba wametofautiana lakini mfadhili ni mmoja na boss wao ni mmoja. akiona uhitaji wa kuanzisha vikosi vingine hufanya hivyo chapu...akina LRA, vile vya naigeria, congo nk. Ukweli ni kwamaba hao ndio waliofikisha dunia hapa ilipo na bado watatupeleka sana hata kufikia uangamivu mkuu