Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

Endelea kulala uchi ila omba usipate dharura usiku...
Mimi ilikua tabia yangu hiyo ila sasa ivi siamini kabisa kwenye kulala uchi... Ntavaa night dress au t-shirt kubwa bila kitu ndani.
 
Hatari inakuja pale anapoingia mwizi nyumbani kwako, then ukawa karibu na kumkamata sidhani kama utakumbuka nguo, sasa ukimfikisha Polisi nani ataonekana mwizi baina yako na uliemkamata
 
Endelea kulala uchi ila omba usipate dharura usiku...
Mimi ilikua tabia yangu hiyo ila sasa ivi siamini kabisa kwenye kulala uchi... Ntavaa night dress au t-shirt kubwa bila kitu ndani.
Sasa hapo s uko uchi tu ... vile natama kupotea niibuke sehem uliyopo
 
Back
Top Bottom