Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,967
- 3,749
Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;-
Kuondoa wakuu wa wilaya
Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya, kuondoa nafasi ya wakuu wa wilaya ni moja ya njia ya kupambana na tatizo la uchawa
Rais kutokuchagua wakuu wa mikoa bali wachaguliwe na wananchi
Kama point ya kwanza watu wengi wanakua machawa wakitegemea kuwa watachaguliwa kuwa wakuu wa mkoa kuondoa mamlaka ya Rais kuchagua wakuu wa mkoa kutapunguza tatizo la uchawa
Rais kutokuchagua wakurugenzi wa wilaya kwa sababu watu wengi sana wanaamua kuwa machawa wakitegemea watachaguliwa kuwa wakurugenzi wa wilaya,
Kufuta nafasi za maras watu wengi wanamatumain kwamba wanaweza chaguliwa kuwa maras hii nayo pia itaondoa watu kuwa machawa
Nawashilisha