Zielewe mbinu mpya za kuchunwa siku hizi

Umechelewa kuja mjini, Ishapitwa na wakati siku hizi tunanyooshaga mistari tu hutaki nyuma geuka wasalimie.
 
Mbona sikuhizi mnaishi kwa mashakamashaka?

Mawazo yamehamia kwenye kupigwa mizinga tu
 
Hiyo ni ya kizamani now a days akikubali tu namzinga utafwata nyuma hata 12hrs hazijaisha
 
KIDUMU JF

Hii mbinu sijui walijifunza wapi
hawa mabinti ni akili mno
hii mbinu ni very tactical ukija kuShtuka unakuta manyoya.
Mfano umemtongoza mwanamke anafanya kazi benk au Ana duka ukidhani anaweza kukidhi mahitaji yake hvyo ww utachangia kidogo unajidanganya!atakununulia nguo atajifanya analipia bili na mengine
Atakutoa out hadi uone huyu ndo wife material
Kumbe anakupigia hesabu umekula sh ngapi ili azidishe mara 100 siku akikulipua ni kuanzia laki5 hd milion eti afungue biashara ukimpa ujue ndo umelipa deni na riba na mrejesho.kama nakosea niambieni ila msinitusi
 
Pale mwanaume anapojiona jabali kwa kuhonga, ni ujuha huo hahhaaaaaa
Mkuu imekuwepo kuhonga toka wewe haupo kwenye mipango ya kuja duniani.
Sasa wewe ona ujuha kuhonga wanawake wazuri wote utaishia kuwaita shemeji
 
Back
Top Bottom