Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
9,519
15,000
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.

Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO.

Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas baada ya majaribio yote ya amani kushindikana huku Israel ikizidisha mateso kwao waliamua kufanya chochote ili kufikisha ujumbe wa madhila yao,

Zelensky mwanzoni alidhani vita vingemalizika kwa haraka na watu wakacheka sana.Alipoona mambo yamekuwa magumu akaanza kuomba misaada kwa shinikizo na matusi na bado haikotosha kunyang'anywa maeneo muhimu ya nchi yake.

Nchi za NATO mwanzoni zilikuwa moja kumsaidia Zelensky kumshinda Putin lakini haikusaidia kitu na hatimae wote wamekimbiana kila mmoja na lake isipokuwa mataifa machache ya Ulaya.

Kwa upande wa Gaza Hamas na wapalestina mwanzoni walipata msaada wa maneno matupu kutoka kwa ndugu na majirani zao huku wengine wakitoa msaada kwa Israel kuwapiga.

Hatimae ndugu na majirani zake wote waarabu na waislamu wameamua kujificha na kukaa kimya kama hawapo wakati madhila kwao na kuuliwa ndio kumeshika kasi huku wakipangiwa kuondoshwa kabia kwenya ardhi zao.
Ama Zelensky bado ana matumaini kwani nchi ya UK na Franze tayari wameahidi kivyao kupeleka vikosi Ukraine kumsaidia kibaraka wao asianguke moja kwa moja na kuwa aibu ya wote.

Kuhusiana na vikosi hivyo hapo jana Zelensky amesikika akiwa na furaha kusema vikosi kutoka Ulaya vitakuwa tayari katika muda wa mwezi mmoja tayari kuwalinda dhidi ya Urusi..

Nchi za Ulaya zinafanya hivyo zikijua kuwa mtu wao alifanya ujinga tangu mwanzo na kwamba hawawezi kushinda vita wakati Urusi baada ya Korea Kaskazini ataleta majeshi ya China kabisa vitani.

Nchi za kiarabu na ndugu wa Palestina wanajua kuwa wapalestina wamezingirwa na wameishiwa na chakula na kwamba msaada wanaohitaji ni mdogo tu waishinde Israel moja kwa moja na kupata uhuru wao na kuulinda msikiti mtakatifu wa ALaqsa usinajisiwe na kuharibiwa ambao ni kituo muhimu kwa ibada za waislamu kote duniani.
 
Hao unasema wewe wapalestina wanadhurumiwa huo ni uongo mtupu kwani Oct 07,2023 nani aliwashauri walivamie Israel? Acha vibaka hao wavune walichokipanda Oct 07,2023!,
 
Mkasa umetokea mbali kabla ya otober 7.
 
Wakapigane na urusi trump apite na greenland kiulaini
 
Ndugu kubali kataa hakuna mtu MNAFIKI KAMA MWARABU. Wazungu siyo wanafiki wanafanya vitu kwa uwazi kabisa. Maana Kama kupeleka silaha Ukraine wanapeleka waziwazi na wanataja Hadi viwango vya pesa wanazotoa. Ila MWARABU kakalia unafiki tu. We unafikili hata pale gaza kwa mazungumzo tu na kuwekana sawa bado uadui usingefikia hapa. Waarabu Kama misri na Wengine wanakaa kutaka amani Iran anasapoti Hamas kupiga mabomu wayahudi alafu wakianza kupigwa anakaa pembeni mpaka gaza imeharibika na kupoteza maisha ya watu wengi sana inatia huzuni sana na inaumiza moyo kwa maumivu makubwa sana. Hakuna kitu kibaya unaona watu wanaangamia na kuteseka alafu anayechochea kakaa mbali na hata mpango wa kuifuta Israel ni wa Iran siyo wapalestina. Damu ya watu wa gaza MUNGU atakuja kuidai kwa wairan. Uwezi kumpa mtu silaha apigane akiwa anapigwa unajiweka pembeni unaangalia tu watu wanavyokufa. Wapalestine waamke Iran akiweka vikundi vyake wamwambie Israel Ike pale ipige mwenyewe uone Kama kutakua na vita na hapa.
 
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.

Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO.

Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas baada ya majaribio yote ya amani kushindikana huku Israel ikizidisha mateso kwao waliamua kufanya chochote ili kufikisha ujumbe wa madhila yao,

Zelensky mwanzoni alidhani vita vingemalizika kwa haraka na watu wakacheka sana.Alipoona mambo yamekuwa magumu akaanza kuomba misaada kwa shinikizo na matusi na bado haikotosha kunyang'anywa maeneo muhimu ya nchi yake.

Nchi za NATO mwanzoni zilikuwa moja kumsaidia Zelensky kumshinda Putin lakini haikusaidia kitu na hatimae wote wamekimbiana kila mmoja na lake isipokuwa mataifa machache ya Ulaya.

Kwa upande wa Gaza Hamas na wapalestina mwanzoni walipata msaada wa maneno matupu kutoka kwa ndugu na majirani zao huku wengine wakitoa msaada kwa Israel kuwapiga.

Hatimae ndugu na majirani zake wote waarabu na waislamu wameamua kujificha na kukaa kimya kama hawapo wakati madhila kwao na kuuliwa ndio kumeshika kasi huku wakipangiwa kuondoshwa kabia kwenya ardhi zao.
Ama Zelensky bado ana matumaini kwani nchi ya UK na Franze tayari wameahidi kivyao kupeleka vikosi Ukraine kumsaidia kibaraka wao asianguke moja kwa moja na kuwa aibu ya wote.

Kuhusiana na vikosi hivyo hapo jana Zelensky amesikika akiwa na furaha kusema vikosi kutoka Ulaya vitakuwa tayari katika muda wa mwezi mmoja tayari kuwalinda dhidi ya Urusi..

Nchi za Ulaya zinafanya hivyo zikijua kuwa mtu wao alifanya ujinga tangu mwanzo na kwamba hawawezi kushinda vita wakati Urusi baada ya Korea Kaskazini ataleta majeshi ya China kabisa vitani.

Nchi za kiarabu na ndugu wa Palestina wanajua kuwa wapalestina wamezingirwa na wameishiwa na chakula na kwamba msaada wanaohitaji ni mdogo tu waishinde Israel moja kwa moja na kupata uhuru wao na kuulinda msikiti mtakatifu wa ALaqsa usinajisiwe na kuharibiwa ambao ni kituo muhimu kwa ibada za waislamu kote duniani.
Waarabu wako sahihi kujitenga na na vita. Anayeanzisha vita apambane kivyake. Siyo unaanzisha vita ukitegemea utasaidiwa.
 
Kuna vita hata kama hukuanzisha unaweza ukawa na haki ya kuviingilia.
Mfano mdogo ni jirani yako unapoona amevamiwa na majambazi na ukaona kaanza kujitetea lakini nguvu yake ni ndogo.Basi ukiweza nenda kamuokoe na kama huwezi ita polisi waje waamue ugomvi.
Utakuwa juha sana kama utajificha au kutafuta njia ukajipotezea,
 
Majambazi yana AK 47 wewe una panga
 
Back
Top Bottom