Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 9,503
- 14,986
Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa.
Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO.
Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas baada ya majaribio yote ya amani kushindikana huku Israel ikizidisha mateso kwao waliamua kufanya chochote ili kufikisha ujumbe wa madhila yao,
Zelensky mwanzoni alidhani vita vingemalizika kwa haraka na watu wakacheka sana.Alipoona mambo yamekuwa magumu akaanza kuomba misaada kwa shinikizo na matusi na bado haikotosha kunyang'anywa maeneo muhimu ya nchi yake.
Nchi za NATO mwanzoni zilikuwa moja kumsaidia Zelensky kumshinda Putin lakini haikusaidia kitu na hatimae wote wamekimbiana kila mmoja na lake isipokuwa mataifa machache ya Ulaya.
Kwa upande wa Gaza Hamas na wapalestina mwanzoni walipata msaada wa maneno matupu kutoka kwa ndugu na majirani zao huku wengine wakitoa msaada kwa Israel kuwapiga.
Hatimae ndugu na majirani zake wote waarabu na waislamu wameamua kujificha na kukaa kimya kama hawapo wakati madhila kwao na kuuliwa ndio kumeshika kasi huku wakipangiwa kuondoshwa kabia kwenya ardhi zao.
Ama Zelensky bado ana matumaini kwani nchi ya UK na Franze tayari wameahidi kivyao kupeleka vikosi Ukraine kumsaidia kibaraka wao asianguke moja kwa moja na kuwa aibu ya wote.
Kuhusiana na vikosi hivyo hapo jana Zelensky amesikika akiwa na furaha kusema vikosi kutoka Ulaya vitakuwa tayari katika muda wa mwezi mmoja tayari kuwalinda dhidi ya Urusi..
Nchi za Ulaya zinafanya hivyo zikijua kuwa mtu wao alifanya ujinga tangu mwanzo na kwamba hawawezi kushinda vita wakati Urusi baada ya Korea Kaskazini ataleta majeshi ya China kabisa vitani.
Nchi za kiarabu na ndugu wa Palestina wanajua kuwa wapalestina wamezingirwa na wameishiwa na chakula na kwamba msaada wanaohitaji ni mdogo tu waishinde Israel moja kwa moja na kupata uhuru wao na kuulinda msikiti mtakatifu wa ALaqsa usinajisiwe na kuharibiwa ambao ni kituo muhimu kwa ibada za waislamu kote duniani.