Zari Arusha Dongo gizani

Hivi mbona Wema hakuwa na huu ujinga jamani?
Huyu bibi ana inferiority complex,sio kwa kutokujiamini huku.

Bibi Zari,najua huwa unapita huku...deal with your man,achana na habari za nyakuz.
Wanawake tunaojiamini hatudeal na nyakuz bwana,alaaaah.
Word!!!
 
Real hny
 
Nshachoka mie, umbea wangu mwenyewe niogope watu, Mbea toka lini akajua kuweka siri moyoni, hao ma mods watajiju kwani dhambi ndo nsharudi na ID mpya
Umejua kunichekesha wallah,unakumbuka kuna kipindi tulicheka sana ulisema yaan majiran wamekuchoka kwa umbea ,kusutwa kwako kawaidaa ,huna kifua kabisaa halaf pm kwako nilikutumia kitu hujanicheki
 
Jeuri hyo ataipata wapi wakati hakuzaa nae? Zari anajitapa mjengo wa South uko chini yake na mali ,chezea child support
 
Nshachoka mie, umbea wangu mwenyewe niogope watu, Mbea toka lini akajua kuweka siri moyoni, hao ma mods watajiju kwani dhambi ndo nsharudi na ID mpya
Umejua kunichekesha wallah,unakumbuka kuna kipindi tulicheka sana ulisema yaan majiran wamekuchoka kwa umbea ,kusutwa kwako kawaidaa ,huna kifua kabisaa halaf pm kwako nilikutumia kitu hujanicheki
 
Umejua kunichekesha wallah,unakumbuka kuna kipindi tulicheka sana ulisema yaan majiran wamekuchoka kwa umbea ,kusutwa kwako kawaidaa ,huna kifua kabisaa halaf pm kwako nilikutumia kitu hujanicheki
Nshachoka mie, umbea wangu mwenyewe niogope watu, Mbea toka lini akajua kuweka siri moyoni, hao ma mods watajiju kwani dhambi ndo nsharudi na ID mpya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom