Zari afunguka kuhusu kifo cha Ivan

Ana akili sana huyu mwanamke, sichoki kumsikiliza kwakweli.... Nmezidi kumpenda bure
Nilikuwa sijapata wasaha wakusikiliza hii clip... leo nuimeisikiliza kwakweli nimemtamani sana huyu mwanamke...nakumuonea wivu Diamond kwakweli huyu mdada ana akili sana na kila mtu angependa kuwa na mwanamke wa namna hii.... Kwakweli nimejikuta namuangukia Zari.

Aiseee Diamond uliposhika shikilia
 
Huyu Mwamama yuko Vizuri sana Kichwani.

Nimempenda buree kabisa.

Sikuwahi kumfuatilia kihivyo wala kumzingatia sana, ila nimesikiliza hiyo Clip aisee nimemheshimu sana, Hongera zake Nasib kwa Kupata Mke Bora Kabisa.
 
Asee huyu mama yuko vizuri upstairs,whatever the case huyu ni mke...wachana na vimbwanga vyake..ni celeb tofauti na wale tulio wazoea wa kula ndumu na kuonyesha vy.u.p.i.

Dada anajua anachokifanya kwakweli..nimejua why team makorokocho wanasanda wakimsikia.
 
Nilikuwa sijapata wasaha wakusikiliza hii clip... leo nuimeisikiliza kwakweli nimemtamani sana huyu mwanamke...nakumuonea wivu Diamond kwakweli huyu mdada ana akili sana na kila mtu angependa kuwa na mwanamke wa namna hii.... Kwakweli nimejikuta namuangukia Zari.

Aiseee Diamond uliposhika shikilia
Kwakweli chibu anafaidi, yani mi shabiki maandazi na enjoy hivi kumsikiliza sijui yeye anaemsikiliza na kumuona live
 
Kwakweli chibu anafaidi, yani mi shabiki maandazi na enjoy hivi kumsikiliza sijui yeye anaemsikiliza na kumuona live
Kwakweli nimeiangalia hii video kama mara nne... aisee huyu mwanamke amefundishwa communications skills yani anajua nini aongee na wapi....
 
18889120_443906462650787_3680312202692132864_n.jpg

Daimondi anao wangapi?!
 
Kwakweli nimeiangalia hii video kama mara nne... aisee huyu mwanamke amefundishwa communications skills yani anajua nini aongee na wapi....
Nmependa mpangilio, anaplan, ana strategies na utekelezaji kwakweli mafanikio hayaji to hivi hivi Nimejifunza kitu
 
Back
Top Bottom