Zanzibar wapata Mawaziri wengi kuliko Bara Wizara nyeti za Muungano, Kwanini?

Bara mmezidi ufisadi na Zanzibar watamsaidia Rais wetu kwa kazi tu. Awamu za wizi mwisho ulikuwa Kikwete

Mbona bado pesa inapigiwa sana kila wizara kuna Ufisadi na wengi hupiga pesa kupitia uzabuni kampuni za General supply , mfano Kama Yule jamaa anaitwa Lugumi amekuwa trionea kupitia wizara ya mambo ya ndani na wizara zingine kupitia uzabuni tu .
 
Jamani zanziba wamepata wizara nyeti wakati huohuo popln yao ni ndogo ikiwa ni sawa na jimbo la arusha tu au ubungo kwanini magufuri amependelea hivi. Natoa takwimu zifuatazo;
1.dr.mwnyi..wizara ya ulinzi..
2.prof.. Mbawala ...ujenzi,mawasiliano na uchukuzi
3.eng.hamadi--mambo ya ndani..uhamiaji..polisi..nk
wapiga kula zanziba walikuwa 111000(2.5%) tu wakati wapiga kura tanzania bara walikuwa 14,500,000 (97.5%).polpulation wise, tz bara ni 44,000,000 (99%) wakati zanzibar ni 1,500,000 (1%).

Na taarifa nilizozipata bado alitaka kuteua watu wawili lakini uongozi wa visiwani ukaombwa wawaache kwani wanawahitaki kwa maendeleo na programme za zanziba.

Je rais mbona zanziba wawaangalia sana kuliko hata wasukuma wa shinyanga na simiyu wanozidi idadi ya zanziba.je kulikoni???

Zanzibar inazidiwa Kwa idadi ya watu na wilaya ya Kinondoni , yaani Makonda pamoja na uzushi wake anaongoza watu wengi kuliko shein , lakini Kwa kuwa Tanganyika inabembeleza muungano imebidi wajipendekeze kwa kuteua mawaziri toka huko hata Kama uchaguzi ulikufutwa ili kupisha maandalizi ya kuchakachua.
 
Jamani zanziba wamepata wizara nyeti wakati huohuo popln yao ni ndogo ikiwa ni sawa na jimbo la arusha tu au ubungo kwanini magufuri amependelea hivi. Natoa takwimu zifuatazo;
1.dr.mwnyi..wizara ya ulinzi..
2.prof.. Mbawala ...ujenzi,mawasiliano na uchukuzi
3.eng.hamadi--mambo ya ndani..uhamiaji..polisi..nk
wapiga kula zanziba walikuwa 111000(2.5%) tu wakati wapiga kura tanzania bara walikuwa 14,500,000 (97.5%).polpulation wise, tz bara ni 44,000,000 (99%) wakati zanzibar ni 1,500,000 (1%).

Na taarifa nilizozipata bado alitaka kuteua watu wawili lakini uongozi wa visiwani ukaombwa wawaache kwani wanawahitaki kwa maendeleo na programme za zanziba.

Je rais mbona zanziba wawaangalia sana kuliko hata wasukuma wa shinyanga na simiyu wanozidi idadi ya zanziba.je kulikoni???

= kura
 
Yaani Mabunge yote yaliyogombea na kushinda katika majimbo yao wamekosekana wenye sifa za kupewa nafasi ya Waziri wa fedha na Waziri wa Elimu, hiki ni kipimo tosha ile kauli ya Kingunge ni sahihi kabisa kuwa CCM imeishiwa pumzi kwani hakuna watu huko bali kuna viwatu tu.

Chama ni kile kile ccm ni ile ile hakuna jipya ndiyo maana Magufuli kawakacha wengi kaamua kuteua wake ingawa na wao wana mapungufu Yao .
 
Bara mmezidi ufisadi na Zanzibar watamsaidia Rais wetu kwa kazi tu. Awamu za wizi mwisho ulikuwa Kikwete

Salmin alipiga pesa, karume alipiga pesa na huyo shein I kapiga pesa sana Nani kasema wana Unguja na Pemba hawajui dili ? Wote tena wasiotarajiwa huwa ni Mafisadi wa kimya kimya sana.
 
Jamani zanziba wamepata wizara nyeti wakati huohuo popln yao ni ndogo ikiwa ni sawa na jimbo la arusha tu au ubungo kwanini magufuri amependelea hivi. Natoa takwimu zifuatazo;
1.dr.mwnyi..wizara ya ulinzi..
2.prof.. Mbawala ...ujenzi,mawasiliano na uchukuzi
3.eng.hamadi--mambo ya ndani..uhamiaji..polisi..nk
wapiga kula zanziba walikuwa 111000(2.5%) tu wakati wapiga kura tanzania bara walikuwa 14,500,000 (97.5%).polpulation wise, tz bara ni 44,000,000 (99%) wakati zanzibar ni 1,500,000 (1%).

Na taarifa nilizozipata bado alitaka kuteua watu wawili lakini uongozi wa visiwani ukaombwa wawaache kwani wanawahitaki kwa maendeleo na programme za zanziba.

Je rais mbona zanziba wawaangalia sana kuliko hata wasukuma wa shinyanga na simiyu wanozidi idadi ya zanziba.je kulikoni???

Mbona umetaja watatu tu mkuu?? Hao wengi wako wapi au ulikuwa na hamu ya kuandika tu
 
Inajadilika, muhimu kuangalia uwiano wa uwakilishi, isitoshe znz wana baraza lao
 
Jamani zanziba wamepata wizara nyeti wakati huohuo popln yao ni ndogo ikiwa ni sawa na jimbo la arusha tu au ubungo kwanini magufuri amependelea hivi. Natoa takwimu zifuatazo;
1.dr.mwnyi..wizara ya ulinzi..
2.prof.. Mbawala ...ujenzi,mawasiliano na uchukuzi
3.eng.hamadi--mambo ya ndani..uhamiaji..polisi..nk
wapiga kula zanziba walikuwa 111000(2.5%) tu wakati wapiga kura tanzania bara walikuwa 14,500,000 (97.5%).polpulation wise, tz bara ni 44,000,000 (99%) wakati zanzibar ni 1,500,000 (1%).

Na taarifa nilizozipata bado alitaka kuteua watu wawili lakini uongozi wa visiwani ukaombwa wawaache kwani wanawahitaki kwa maendeleo na programme za zanziba.

Je rais mbona zanziba wawaangalia sana kuliko hata wasukuma wa shinyanga na simiyu wanozidi idadi ya zanziba.je kulikoni???

Hapo mleta hoja iunaichokoza Ccm na siri zake za muungano
 
Wana wazubaisha ili nao wajione ni sehemu ya Tanzania,kumbe nao ni watanganyika tuliowaficha kwenye koti la muungano,lakini wameanza kujitambua kitambo sana.
 
prof mbawala anatoka pemba, hamadi ni kutoka zanzibar na ameteuliwa kuwa naibu wa mambo ya ndani.so pitia vizuri orodha ya mawaziri na manaibu

Sidhani kama Mbalawa anatoka Zanzibar nafikiri ni kutoka Tanga, Waziri wa mambo ya ndani ni Charles Kitwanga sijui Eng. Hamad umemtoa wapi. Akina Mbawala mbona ni wa Songea?

Ni Mbalawa au Mbawala?
 
Jamani zanziba wamepata wizara nyeti wakati huohuo popln yao ni ndogo ikiwa ni sawa na jimbo la arusha tu au ubungo kwanini magufuri amependelea hivi. Natoa takwimu zifuatazo;
1.dr.mwnyi..wizara ya ulinzi..
2.prof.. Mbawala ...ujenzi,mawasiliano na uchukuzi
3.eng.hamadi--mambo ya ndani..uhamiaji..polisi..nk
wapiga kula zanziba walikuwa 111000(2.5%) tu wakati wapiga kura tanzania bara walikuwa 14,500,000 (97.5%).polpulation wise, tz bara ni 44,000,000 (99%) wakati zanzibar ni 1,500,000 (1%).

Na taarifa nilizozipata bado alitaka kuteua watu wawili lakini uongozi wa visiwani ukaombwa wawaache kwani wanawahitaki kwa maendeleo na programme za zanziba.

Je rais mbona zanziba wawaangalia sana kuliko hata wasukuma wa shinyanga na simiyu wanozidi idadi ya zanziba.je kulikoni???
[/QUOTE
Idadi ya watu sio hoja. Unasahau kuwa Zanzibar ni nchi.
 
Nasikitika kuona mawazo mepesi yakipewa nafasi. Hivi kigezo cha kuwa waziri wakijua?
 
prof mbawala anatoka pemba, hamadi ni kutoka zanzibar na ameteuliwa kuwa naibu wa mambo ya ndani.so pitia vizuri orodha ya mawaziri na manaibu
Kwani mbawala bado mbunge? Si alitoswa toka2005? Mi nazani hapa tumjadili makame mbarawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom