Zanzibar: Dr. Shein kutoka kivingine, SUK kuwekwa kando

Mzee Tupatupa hembu nipe mfano katika Afrika nchi ipi serekali za mseto au za umoja wa kitaifa kama mnavyooziita zilidumu?Kenya,Zimbabwe ni mifano hai...Huwezi ukaendesha nchi kwa sera za vyama tofauti ni ujuhaa
hakuna nusumkate tena, ila naona kama dr.shain anashinikizwa vile.
 
Yametimia

Mzee Tupatupa

Kwanini unaona ajabu??Si hata huku bara wanataka serikali ya chama kimoja??Tumeona jinsi JPM akiongea siku ya kufungua mambo wa umeme Kinyerezi na Makonda pia.

Nadhani CCM unatafuta njia zote kuua upinzani
 
Hata akifanya nini urais wake hauna heshima duniani kwa sasa hana tofauti na Nkurunzinza, bora wasiwe na katiba kuliko kupora katika. Rais wa ccm na si zaanznibar, serikali ya wana ccm wa zenji. Ulafi wa madaraka kwa kisiwa umeondolea sifa ya demokrasia iliyokuwepo Tanzania katika ulimwengu.
Burundi ni nchi (sovereign state) wakati Zanzibar siyo nchi. Hivyo huwezi linganisha Nkurunzinza na Shein.
 
Huku kukiwa hakuna chama cha upinzani Zanzibar kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) na CCM,Rais wa Zanzibar yu njiani kutoka kivingine. Taarifa za kiuchunguzi zinaonesha kuwa Dr. Shein amepanga kuunda Serikali kutumia wanachama wa CCM tu na hivyo kuiweka kando SUK itakiwayo kikatiba.

Taarifa zinasema kuwa Dr. Shein ameapa kutokwama kuunda Serikali kwakuwa tu hakuna chama cha upinzani cha kushiriki kwenye SUK. CCM,huko Zanzibar,imezoa viti vyote vya Urais,Uwakilishi na Udiwani. The new episode nears fast!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Vuta uvutwe mwaka huu lazima uzae
 
Burundi ni nchi (sovereign state) wakati Zanzibar siyo nchi. Hivyo huwezi linganisha Nkurunzinza na Shein.
wote wanafanana WALFI WA MADARAKA NA WABAKAJI WA DEMOKRASIA., kichekesho kingine ndio hicho eti sio NCHI sasa ni rais wa kazi gani kama hana nchi?!
 
Back
Top Bottom