nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,390
- 2,163
Prof.Muhongo unamuonea ndugu! Tumuache afanye kazi majungu hayalisaidii taifa kwa sasa. Ebu fikiria kidogo, kabla muhongo hajaingia barazani ufisadi haukuwepo? Weka wazi na ushahidi wako wapi muhongo anahusika kwenye wizi ?