Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,725
- 9,051
Zakaria ana zaidi ya miaka kumi akiwa na monopoly power ya kuagiza sukari.
lwapo atatokea mwagizaji mwingine wa sukari basi sukari yake itaozea baharini kwani atatozwa ushuru ambao kamwe haulipiki.
Huyu naye achunguzwe
==========
UPDATES:
Serikali imeifanyia kazi tip hii, soma > Zakaria Haruni ndiye muagizaji pekee wa sukari na halipi kodi