king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,032
Mm niliwadhalau baadaya mmoja wao kasema et ana ushahidi wa kutosha kuhusiana na wizi wa lowassa na lostam aziz mpaka leo kimya
Grace, au mwingine?!Mkuu mungu amrehemu mzee Ndesamburo, ila Ndesa ana mtoto anaitwa Sindato mke wake wa kwanza aliporwa na mwenyekiti, jamaa akaamua kuoa mwingine.
Mimi sijazungumzia siku moja hapa.
Nimezungumzia zaidi ya mwezi mmoja!
Huyo rais wenu alisema wataenda mahakamani tokea mwezi wa nne huko...
Nazani nia wanayo tatizo recourses na muda maana serekali imewafungulia Chadema mikesi kibao. Pia ni vizuri kujua tume ya maadili itafanya nini kwanza.
Kwanini wewe binafsi usifungue kesi kama mtikila alivyokuwa akifungua kesi.
meant no offence sikujua upo sensitive mzee baba. samahaniKutangazwa kwa lowasa na chadema mwembeyanga kwenye list of shame ni guarantee ya serikali kutokumpleka mahakamani?
2015 Nape na Magu kwenye kampeni walituaminisha nini? "Mgombea mwenyewe fisadi nikiingia madarakani namfungulia mashtaka". Na sio 2015 tu hata hapa JF nitakuletea nyuzi ccm wanasema Lowasa ni fisadi.
Kuna haja gani ya kunikejeli comrade? Unakili nyingi saana hivyo mada haikutoshi hadi ukejeli ndiyo ufurahi
Niliwahi kuandika kwenye hii thread;
LINK>>Mbowe agonga mwamba kortini hata TLS watagonga mwamba
Jiulize pia haya mashitaka yaliishia wapi?
LINK>>CHADEMA watua ICJ kupeleka mashitaka ya uchaguzi mkuu
Nilishangaa sana baada ya muda mrefu ndipo Makene akaibuka kukana baada ya wananchi kuwambia ukweli kuhusu kazi za ICJ.
Usishangae ukisikia wamekanusha kuwa hawakusema kama wataenda mahakamani.
Mimi siku hizi sishangai nikisikia wanaitwa majina kama nyumbu!
Wanasiasa wamewafanya baadhi ya watanzania kama misukule!
Sina sababu wala haja ya kufungua kesi dhidi ya Paul Makonda kwa sababu sina ushahidi wowote ule unaothibitisha na kuhitimisha kuwa katenda kosa popote pale.
Gracious.meant no offence sikujua upo sensitive mzee baba. samahani
Ahahahaa....napatwa na hisia huyo Wema atarudi CCM kabla ya 2020....
Ni zaidi ya mwezi sasa tokea yule rais wa TLS [read: CHADEMA], ambaye aliingia madarakani kwa kila aina ya mbwembwe, ambaye ushindi wake wa hicho cheo cha hicho kichama cha wanasheria baadhi ya watu waliushangilia utadhani ni ujio wa pili wa Yesu [wakati hakuna lolote], atangaze kuwa eti watampeleka mheshimiwa Paul Makonda mahakamani na kumfungulia mashitaka kadhaa mojawapo likiwa ni kudanganya kuhusu vyeti vyake.
Lakini mpaka sasa mimi [sijui nyie wengine] sijasikia hayo mashitaka yakifunguliwa kwenye mahakama yoyote hapa nchini.
Kama kawaida yao, kwa jinsi walivyo ni watu wa kudandia matukio, kwa sasa jambo linalobamba ni hili la makinikia. Hili nalo wamelidandia kwelikweli.
Si ajabu kabisa kama watakuwa washasahau kuwa walisema wataenda mahakamani kwenda kumshitaki mheshimiwa Makonda.
Sasa mimi sidhani kabisa kama hata wakienda mahakamani, hiyo kesi yao itafanikiwa. Kama wakienda basi itakuwa ni kesi ambayo tayari ni mfu [dead on arrival].
Mwezi mzima ushapita tokea watamke rasmi kuwa wataenda mahakamani...mbona mpaka sasa hawajaenda?
Nyie makaka na wadada wasomi, inachukua muda gani kumfungulia mashitaka mtu kama kweli ushahidi upo?
Au yalikuwa ni makelele ya kasuku na chiriku tu?
Hebu mwoneni hapa huyo Tundu Lissu akisema wataenda mahakamani...
Niliwahi kuandika kwenye hii thread;
LINK>>Mbowe agonga mwamba kortini hata TLS watagonga mwamba
Jiulize pia haya mashitaka yaliishia wapi?
LINK>>CHADEMA watua ICJ kupeleka mashitaka ya uchaguzi mkuu
Nilishangaa sana baada ya muda mrefu ndipo Makene akaibuka kukana baada ya wananchi kuwambia ukweli kuhusu kazi za ICJ.
Usishangae ukisikia wamekanusha kuwa hawakusema kama wataenda mahakamani.
Mimi siku hizi sishangai nikisikia wanaitwa majina kama nyumbu!
Wanasiasa wamewafanya baadhi ya watanzania kama misukule!
Tushageuzwa wale wanyama wa Orwell. Tunatakiwa kushangilia kila kitokacho chadema na kulaani kila kitokacho ccm bila kujali ni chema au kibaya kiasi gani.Sasa wamerukia kukanusha vitendo vya Kim IL Sung wao kama sauti ni yake au sio yake ,mtu mzima anapobembeleza uroda kwa mwanawe,hii ni aibu sana.Vijana wengi eti sasa wanaona matusi ,kisa malaika wao kanaswa na kinasa sauti.Hizo sauti zingekuwa za upande wapili tungesikia mengi lakini kwa kuwa ni za malaika ,mungu mtu wao ,vijana wa ufipa wanajitoa ufahamu,sasa silaha na makombora yameelekezwa kumsafisha mzinzi.
Hakuna kesi hapo wewe.
Kama unabisha tupinge...
Yaan nahc jf nzima ww ndyo mtu ambaye hana akili timamu huwa unashindwa kuficha ujinga wako kwa jinsi unavyo commentMpuuzi sikuzote Niwakumdharau tu
Lissu ana wahadaa wasiye jielewa na Vibendera
lakini mtu mwenye Akili zake hawezi Kusikiliza upuuzi wa Lissu