Zaa mtoto mpelekee baba yake akamuue kama ni rahisi

Naona umeanzisha thread yko kwa jazba na kila anayekukrash kdg unapata povu (hasira). Ukitupa jiwe kwa kila mbwa anayebweka, huwezi kufika safari yako. Kilaa mtu ana uhuru wa kujibu anavyotaka.

Mada ni nzuri, ila elewa kutofautisha kati ya MTOTO, ambaye amekaa tumboni kwa maximum wiki 38 na ZYGOTE.

Naamini kabisa, na nakubaliana na ww kbs kwamba ni uchungu sana kumuua MTOTO, na imekuwa rahisi sana KWA WOTE (wanaume na wanawake) either kushirikiana wote kufanya maamuzi ya kuua zygote au mmoja kati yetu, kufikiria maamuzi ya kuua zygote.

Zygote SIO mtoto, bado hajawa mtoto. Fahamu hilo. Kwahyo maumivu ya kuua mtoto hayawezi kuwa sawa na maumivu ya kuua zygote. Na ndio maana wapo wanawake pia wanaotoa hzo mimba bila mwanaume kujua, kwanini na hao wasisubiri wakazaa ndio wakauwa watoto wao..??

Ni mada nzuri, ila punguza jazba...!!!
Hapana sikuanzisha kwa jazba nilianzisha kiustaarabu sema waliokuja kucomment kinyume wakanikera. Niko against killing na kwa imani yngu mimi binafsi ya bila mafundisho naamin kuua tumboni ni sawa tu na aliyeua akiwa nje
 
Ila Dada zetu mna roho ngumu.

Hivi huwa mnatoa wapi ujasiri wa kutoa mimba?

Habari wana jf
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni kawaida sana mwanaume kumwambia mwanamke atoe mimba linapokuja suala la mwenzi wake kuwa mjamzito. Tena wengi wao ndio hutafuta na njia za kutoa kwa madai ni salama, wengi tu wanatumia na haziwapi madhara nk
Kiufupi wanaume ndio chanzo kikubwa cha mimba kutolewa au kubaki mie naona kama wanaona ni kitu kidogo wanawake wawe wanalea mimba akishazaliwa mtoto unampelekea baba yake akamuue sababu hataki mtoto, sio tuwe tunapeana dhambi tu za kuua.

N. B usitumie kigezo cha kusema bado hajawa kiumbe kamili mara hizo ni damu tu. Mara mimba inapotungwa tayari ni maisha ya kiumbe hai. Kuua ni kuua tu kiwe tumboni ama hai.

Mimi kuna mwanamke amebeba mimba yangu ananiambia hawezi kuzaa anataka aitoe na hela ya kutolea nimpe mimi daah simwelewi kwakweli
Naelewa wapo wanawake ambao wana sababu zao za kutotaka kuzaa, ikiwemo wengi huona bado wanakula maisha nk. Pole mkuu ila wanawake kama hao ni wachache mno karne hii wengi wanazaa haijalishi katelekezwa ama vipi wanabeba mizigo wenyewe
 
Sasa mleta mada mwenyewe watu wakienda tofauti na anavyotaka anaanza kurusha maneno makali.
Unataka usikie yale unayotaka? Kuleta mada unatakiwa uwe mvumilivu, pokea ideas zote na mawazo yote.
Tatizo sio kupokea idea mkuu. Umeona alichokichangia huyo mpaka akanikera kwanza hajastick na mada kwenda nje ya mada sio kupokea idea mpya huyo alitakiwa aanzishe mada yake inayohusu hilo jmbo
 
No woman, who aspires to be a mother speaks those words.
My dear sijui kama umeelewa msemo ama umecomment tu, am aspired to be a mother no wonder i am against abortion, if someone should tel me to abort my own child my reply would be he should kill the child himself not me. And with dat saying it doesn't mean i will give birth and take the child for him to kill, i meant if he does not have the guts to kill a child why should he tell me to do the same? If that is not aspiring to you dats you darling not me, i will love my kids enough not to allow anyone to tell me about abortion got it?
 
Nyani huku mama yangu, kwanini wakati unaongelea wanaume usiseme baba yako, ukasema wanaume, akili ya mwanamke ni finyu sana, inaishia kwenye make up to ata awe nani
Mkuu huku kwetu mwanaume kujibizana na mwanamke huitwa mtoto mzuri. Naomba nikuite mtoto mzuri Asha.
Sasa asha unasema sijamsema baba yangu siwez kumsema baba yangu sababu hayuko hivyo katulea kwa mapenzi mema. Wewe uliyesema hujawahi ona mwanamke mwenye akili ina maana umemaanisha hata mama yako hana. Nimelenga wanaume wenye hizo tabia kama huna hizo tabia povu ka nini sasa?

Mada katoa mmoja wewe unakuja kujumlisha wanawake wote huoni we ndio una matatizo. Kwanza umeingilia ugomvi kwa matusi usio kuhusu bado unatukana wanawake. Kwa kauli yako hata huyo demu, dada, shngazi, mama wote hawana akili
Hongera mtoto mzuri asha kwa kuonyesha akili zako karibu kwa jibu lingine mtoto mzuri asha
 
We mwenyewe umecrash kwa shitty tu,, ko ka umekataliwa ndo kiwe kigezo/sababu ya kumtupia mtu chooni?? Aliyekataa mtoto na aliyemtupia mtoto chooni wote wanaenda shimoni..PUMBAAVU
some comments make me laugh. Povu la wanaosupport kutoa mimba.
 
Hakika walee mimba na wazae!! Kisha kama mwanamme hataki basi yeye ndiye aue!!! It makes sense!!!
Kabisa tanx kwa kuelewa what i mean naona watoa mapovu wote ndio wale wale wanao waambia wapenz wao watoe mimba. Ukiona povu jua limemgusa
 
Nimemwambia mtoa mada mahondaw wangu...

Kwamba si kila mimba inayotolewa na mwanamke ina baraka za mwanaume... Wengine wanajiamulia tu...
Mkuu nikisema nimecheka usishangae. Hivi unataka kuniambia mimba itolewe kisa haina baraka ya mwanaume? Yeye ni nani kwani bila baraka zake mtoto asiwe na haki ya kuishi? Sababu yako hata sio ya mantiki najua sababu ambazo hata hospitali mama ataambiwa atoe ikiwa mimba inahatarisha maisha yake sio baraka. Kwangu mimi naamini baraka anatoa ni Mungu na wazazi wenye upendo. Wewe mwenyewe ungetolewa usingekuwa hapa unacomment. Point yko iko weak sana na haina maana, kama hana baraka zako kamuue basi akishazaliwa mwenyewe other wise let them live ni haki yao
 
Mkuu huku kwetu mwanaume kujibizana na mwanamke huitwa mtoto mzuri. Naomba nikuite mtoto mzuri Asha.
Sasa asha unasema sijamsema baba yangu siwez kumsema baba yangu sababu hayuko hivyo katulea kwa mapenzi mema. Wewe uliyesema hujawahi ona mwanamke mwenye akili ina maana umemaanisha hata mama yako hana. Nimelenga wanaume wenye hizo tabia kama huna hizo tabia povu ka nini sasa?

Mada katoa mmoja wewe unakuja kujumlisha wanawake wote huoni we ndio una matatizo. Kwanza umeingilia ugomvi kwa matusi usio kuhusu bado unatukana wanawake. Kwa kauli yako hata huyo demu, dada, shngazi, mama wote hawana akili
Hongera mtoto mzuri asha kwa kuonyesha akili zako karibu kwa jibu lingine mtoto mzuri asha
Wanawake wote hawana akili, samaki mmoja akioza ni wote. by then usitumie kigezo cha kusema eti nimesema wanawake wote then mama yangu atajumuisha, mimi kusema wanawake wote isiwe ni kichaka cha wewe kuficha ujinga wako, wewe ni mjinga tuu haijalishi nimetumia lugha gani kusema wewe ni mjinga. Unajulia wapi kuwa mama yangu kama yuko duniani kwa sasa? Wanawake wana uwezo mdogo sana wa kupambanua mambo hawatoi fursa kwa ubongo wao kuwaza japo nusu sekunde. Big up kwa wanawake wote walioishi zamani hasa mama yangu.
 
Ila Dada zetu mna roho ngumu.

Hivi huwa mnatoa wapi ujasiri wa kutoa mimba?
Hahahaha mkuu mbona nyie baadhi ni wataalamu kutushauri kutoa halafu nikishatoa hivi unanionaje. Kwangu mimi ni big no haupo tayari kulea i will raise my child alone siko tayari kutoa mimba eti kisa mwanaume anasema hayuko tayari
 
Yote hayo ya nn mtoto rahaaa sana unanzaje kumpeleka yan umzae kwa uchungu afu umpelekee et kisa altaka utoe hainogi hataa
Hiyo kauli haimaanishi eti uzae umpelekee akauwawe, nilichomaanisha kama hamtaki mtoto aje amuue mwenyewe lakin mimi siwez ua kisa yeye hamtaki. Kama anamchukia kiasi hicho amtafute mwenyewe aue simple as that
 
Sijawahi kukutana nae wa hivi labda kwakua bado ninasubiri kuvaa white dress kwanza kabla ya katoto. Kama ikitokea nitaondoka lakini hatanisikia tena na mtoto akikua nitamweleza ukweli kibakie kihere here chacke tu cha kumtafuta baba yake.
word...lol
 
nyie ndo mnasababisha
Waambie mama hawajui chanzo ni nani. Hivi mama akae na mtoto miezi tisa bado azae halafu hivihivi akamtupe mtoto kwa rambo huyo si atakuwa kichaa jamani. Wangekuwa wanawatunza nani atatupa mwanae kama kila kitu anapata.
 
Back
Top Bottom