Yvonne Chaka Chaka: Ninatamani sana kukutana na Rais Magufuli

Namshauri ahame SA na kuhamia Tanzania ili aifaidi vizuri Tanzania ya viwanda.
 
Atembee kwenye barabara mbali mbali za jiji la Dar na hasa zinazoingia ndani ndani kidogo hasa wakati huu wa mvua, ili auone utendaji wa Rais wetu vizuri.
 
Mwambie jamaa anatutandika risasi na anatuteka na kutupoteza kwa kufofautiana maoni.
Ni kawaida madikteta kuvuta hisia za watu hasa nchi nyingine kwenye miaka ya mwanzo baadaye watajua kumbe hili ni dudu.
 
Chakachaka ajifunze kilichomkuta MALKIA WA SHEBA ALIVUTIWA NA MFALME SOLOMONI. AKAENDA KUTEMBELEA KILICHOMKUTA KILA MTU ANAKIJUA .SO WATCH OUT CHAKACHAKA
 
Back
Top Bottom