Yuwapi Komredi Benard Membe?

Teheeteeh, Membe alisema 2016 maadui zake watakimbia nchi, imekuwa kinyume yeye ndio kakimbia maadui zake. Siasa bana eti nae alikuwa aishi magogoni?! mtama tu ilimshinda nchi nzima ingekuwaje?
Msimchafue Mzee membe hehe
 
Teheeteeh, Membe alisema 2016 maadui zake watakimbia nchi, imekuwa kinyume yeye ndio kakimbia maadui zake. Siasa bana eti nae alikuwa aishi magogoni?! mtama tu ilimshinda nchi nzima ingekuwaje?
Hivi hii habari uwa ni kweli au huwa anasingiziwa? Maana kuna hata mchina alijenga NYUMBA yake mtama anasema aliambiwa kuwa awe makini kuijenga maana yawezekana anajenga Ikulu ndogo bila kujua,
 
Bernard Kamilius Membe ni mzima wa afya Tele ataongea muda muafaka kama kuna jambo la maana kusemea. Vita ya kumzuia nyang'au asiingie Ikulu ameipiga na kushinda kwa hakika.
Baada ya kumaliza kupigana akaishiwa nguvu kabisa..
Na aliyempigania akakataa unafiki akamzibua gumi akamtupia nje!!
 
Hivi hii habari uwa ni kweli au huwa anasingiziwa? Maana kuna hata mchina alijenga NYUMBA yake mtama anasema aliambiwa kuwa awe makini kuijenga maana yawezekana anajenga Ikulu ndogo bila kujua,
Aliyasema na alikuwa na uhakika kuwa ndie ajaye, haamini mpaka sasa jinsi kikombe kilivyompita.
 
Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.

Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
We Dada, hivi nikuulize swali kabla SIJACHANGIA mada, HIVI UMEOLEWA?????!
 
Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.

Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.

Hujasome Lizaboni amesema, yuko kwenye mchakato wa kumhujumu Magufuli, ili asiwe mwenyekiti wa chamaili atengeneze timu ya kumpeleka Magogoni 2020?

Anajua polisi na majeshi yote yatalinda matashi yake kama ilivyokkuwa na hivyo akigombea tu lazima awe raisi!.

Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, ninadhani sasa ni muda wa kuomba Divine intervention!. Mungu atafanya mlango wa kukomboa taifa hili kwa kuwa watawala wametufikisha utumwani ambapo siyo kusudi la Mungu. Tuombeni Divine Justice, vinginevyo kina Membe wanakwenda kutuzika tukiwa tunapumua kabisa!
 
vuta picha ingekuwa vipi leo hii Mhe Membe angelikwa ndio Rais wa Tanzania,angesafiri mara ngapi kwenda nnje? wasanii wangapi wangeenda ikulu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom