Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

Leo hii, muda mfupi ujao, Yusuf Manji ataongea na Wanahabari. Haijajulikana anataka kuongelea nini.

View attachment 468455

Nitatoa Updates hapa hapa JF.

Stay tuned.

Lazima awaite, Kutuhumiwa sio kitu kidogo..Yeye akiwa mfanyabiashara mkubwa na mwenyekiti wetu wa Yanga, inamuaribia biashara zake na uaminifu kwa mashabiki wa Yanga na uongozi kwa ujumla.

Lazima aelezee atleast sisi wananchi wa kawaida ambao hatutoyasikia yatakayojiri huko polisi siku ya ijumaa tujue kwanini ametuhumiwa na labda kuna mchezo wa kisiasa nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom