Yupi anayefaa, Tajiri ila hana muda na mimi au mwenye uwezo wa kawaida ila yupo nami muda wote

Kiuhalisia, kama huyo mwenye pesa anakupenda nenda kwake.

Huyo asiye na pesa mtapeana stress muda si mrefu, mapenzi hayalipi kodi, hayalipi ada za watoto, hayalipi bills.

Kama kweli anakupenda huyo mwenye pesa, nenda kwake.
Huyu niko nae muda ila kama miezi 4 tumekorofishana kwa hili hili nimekuwa mpweke sana kama sina mtu ni bora niwe single kuliko kuwa na mtu kama hauko nae Ukienda kwako anarudi saa6, usiku saa12 Kashaondoka hana jmoc wala j2
 
Usiogope mkuu. Hayo mambo hapo, japo sio kwa kila wanaopitia hali hizo.
Wengine wamedumu ktk ndoa happily lkn wengine mioyo yao inasukuma damu na vitu vingine
Nimeshaumizwa sana moyo umekuwa mweusi ningekuwa mlevi ningekuwa nalala bar
 
Pole sana dada na hongera pia.
-Hongera kwa kuwa na kazi yako nzuri.

-Sikushauri uingie kwenye ndoa kama huyo mwanaume hana uwezo wa kukutunza wewe na familia.

-Usiingie kwenye ndoa moyoni ukisema utamsaidia mwanaume kulea familia.

-Kaa na huyo mwanaume chini, mwambie kile unachokiona. Kama wote mtaweza kujiongeza kwa pamoja au kutafuta biashara ambayo itawaingizia kipato kama familia.

-Mapenzi na Pesa vinaenda pamoja dada yangu.

-Ogopa sana mwanaume mwenye uwezo mkubwa ktk mahusiano.

KILA LA HERI MAMA!
 
Kiuhalisia, kama huyo mwenye pesa anakupenda nenda kwake.

Huyo asiye na pesa mtapeana stress muda si mrefu, mapenzi hayalipi kodi, hayalipi ada za watoto, hayalipi bills.

Kama kweli anakupenda huyo mwenye pesa, nenda kwake.
Heee aende kwa kuwa kuna pesa na sio mengine...
 
Asiye na pesa
endelea naye in one condition , lazima aoneshe hali ya kujituma kutaka kutoka katika hiyo hali ya sasa, ili maisha yaweze kuwa smooth kwa kiasi fulani. Vilevile jaribu kukaa nae uone ana strength kwenye area ipi kibiashara ili aweze kupata ka mradi ka kuendeshea maisha.

Though true love is unconditional.
 
Ndoa lengo lake kubwa ni kuondoa upweke, upweke hautolewi na mgegedo pekee. Upweke unatolewa na ukaribu pamoja na mgegedo

hata hivyo, pesa ya kula, kulipia ada na bili za umeme na maji lazima iwepo.

nashauri umbatane na huyo mwenye hela ya mboga lkn ana muda mwingi na anakugegeda kisawasawa.
 
Nimeshaumizwa sana moyo umekuwa mweusi ningekuwa mlevi ningekuwa nalala bar
Yupi alikuumiza mkuu?
Kumbuka, moyo umeumbiwa kusukuma damu. Usiubebeshe hasira na huzuni kama una mpango wa kujiepusha na maradhi ya moyo
 
Miaka ya nyuna kuna dada alimkataa baba fulani ni mtu na heshima zake...ila akimkataa alimuona kama fukara na hakujali kujua kichwani huyo mwanaume ana nini.....maaka dakika hii yuke mama aliyekataa anaishi maisha ya shida hayo hayo na binti aliyekkubali huyo mtu sa hv anaishi kwa amani maana huyo kijana sa hv sio tu anapesa bali ana heshima kwa jamii.....hivi ewe dada engalia kwa makini wadada wanaokishuri kuwa huyo wa kawaida hafai kwa madai hawezi kuhudumia....mtu aliyemzina anahudumia kwa uwezo wake....kazi ni kwako
 
Inategemea kama unataka penzi au pesa za huyo asiye na muda nawe, lakini naona umeshafanya maamuzi muafaka.

Kama kichwa cha Habari kinavyojielezea mimi ni binti mrembo tu Nina kaxi yangu nzuri Namshukuru Mungu, nimepita kwenye mahusiano kadhaa changamoto hazikosekani Nimekutana na wenye uwezo wanaoweza kanipa Nitakacho na wenye uwezo wa kawaida tu.

Nilichojifunza ni kwamba Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu Anaejiweza akakupa kila utakacho ila hana muda na wewe hamna out wala muda wa kukaa mkayajenga hata mazungumzo ya kawaida maana mimi ni mpambanaji mkikutana ni show basi siku zinaenda mwaka umekatika hamna la maana na sio kwamba anamahusiano mengine Hapana ingawa Mwanaume huwezi msemea ila ni mtu ambae uko nae huru ila yuko busy muda wote hawezi kujenga muda kwa ajili yako ila muda wa kufanya mengine kama kwenda Bar, karaoke nk anao

Pili Mwanaume Ambae hawezi kukuhudumia kwa chochote mnapata muda wa kuzungumza kushauriana kupanga Mambo ya maendeleo ingawa hamuwezi kwenda out nk kutokana na kipato ila mapenzi mnayafurahia hata kwa kukaa ndani tu coz mimi sio mtokaji na haijawahi kunipa chochote wala sijawahi kumuomba coz namjua Hali yake ingawa ana wasiwasi na mimi kutokana na uwezo wake na urembo wangu ila mimi sina tatizo coz najimudu kwa kila kitu
sasa huyo mwenye uwezo miezi4 hatuko vizuri na naona nimeshindwa mimi kwa moyo mweupe coz sijawahi kuenjoy nae hata siku moja nataka kumpokea huyu wa Hali ya kawaida kwa moyo mmoja tujenge familia maana kule naona utumwa naombeni Ushauri ndugu zangu
 
When you know why you like someone, it's a crush. When you have no reason or explanation, it's love
 
Back
Top Bottom