Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,612
Freeman Mbowe na Lowassa ni wale wale tu, ni sawa sawa na mtu anayesema hanywi konyagi halafu baada ya dakika tano anamwambia mhudumu amlete kiroba, ni wale wale tu. Watu ambao kwenye mwanga wanaongea kwa kutumia maarifa yote ya ushawishi wa kisiasa, lakini wanapokaa gizani kitu muhimu kwao ni fedha na sio zaidi ya hapo. Wapambe wa bei ndogo siku zote wanayatazama yale yanayoendelea kwenye mwanga halafu wanayapima kama ndio kielelezo cha wale wanaowatazama kumbe kuna maisha ya gizani.Baada ya ukweli kujulikana hana ufisadi wowote mafisadi na majipu juzi Freeman Mbowe amewataja