Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,742
40,872
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?

Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.

Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais ni Mwanadamu, hata kama wakati mwingine anazungumza kama mwenye ufunguo wa mbinguni. Mwisho mtasababisha taharuki isiyo ya lazima na kufanya watu wamposti Mama Samia tena.

Kama anahitaji kuinuliwa katika maombi huu ndio wakati. Kama hakuna jambo serious mnasema hivyo nakerekaga kweli.

===

UPDATE 12.03.2021:

Waziri Mkuu atoa kauli: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni?
 
Mzee Mwanakijiji ana hoja ya Msingi Sana.

Kama Rais anaumwa ikitangazwa itakuwa ni bora kwa kuwa hao "wajinga" wanao wajinga wenzao wanaowaamini.

Kuacha uzushi kuhusu Afya ya kiongozi Mkuu wa nchi kuenezwa, si jambo jema hata kidogo!!
Kesho wakizusha Tena napo ikanushwe, kesho kutwa hivyohivyo. Sasa si watakuwa na kazi ya kuzusha tu. Nyie watu ni wajinga sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom