Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,242
Kuna kipindi huyu mtayarishaji wa mziki aliwika sana baada ya kutengeneza ngoma kadhaa za Belle 9 kama Masogange, Nilipe Nisepe, n.k.
Hakuishia hapo alitengeneza ngoma kibao zilizowika sana enzi hizo. Mara ghafla sisikii hata ngoma moja toka kwake?
Kwa anayejua hivi bado studio yake ipo?
Zaidi namuona mkewe yule mtamgazaji wa Clouds TV tu.
Jamaa alikuwa mkali sana aisee.