Aliolewa Ujerumani kati ya mwaka 1985 au 86 hivi wakati Ukimwi umepanda juu sana. Kuna jamaa mmoja alifika baa moja kule Mwenge akidai ametoka kumzika Tabia Mwanjelwa lakini baada ya siku mbili tu taarifa zikatoka kuwa Tabia amejiunga na bendi fulani ya kiafrika huko Ujerumani. Tulipokutana na yule mzikaji tukamwuliza alizika Tabia yupi, akasema hata yeye alikuwa ameambiwa tu.
Tabia alitamba sana enzi za Magot Ushirika. Nimesoma kuwa amefariki na mwili wake unardishwa nyumbani kwao Mbeya. Mungu aiweke roho yake pema peoponi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.