Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,544
- 23,417
Yawezekana ni mrundi wewe , TZ ILIFANYA MAKOSA SANA KUWAKARIBISHA.Acakuongea kama umekatika kichwa wewe
Yawezekana ni mrundi wewe , TZ ILIFANYA MAKOSA SANA KUWAKARIBISHA.Acakuongea kama umekatika kichwa wewe
Kwani wewe ni mtanzania wawapiYawezekana ni mrundi wewe , TZ ILIFANYA MAKOSA SANA KUWAKARIBISHA.
Mtanzania Wa hapa Tanzania. Unauliza kwa sababu wewe ni mtanzania Wa Burundi.Kwani wewe ni mtanzania wawapi
Nawasi wasi wakati unazaliwa utakuwa ulitanguliza miguu badala ya kichwa Shwaini weweMtanzania Wa hapa Tanzania. Unauliza kwa sababu wewe ni mtanzania Wa Burundi.
Unapaswa kujua Zito siyo levo zako Jinga sana weweNawasi wasi wakati unazaliwa utakuwa ulitanguliza miguu badala ya kichwa Shwaini wewe
Hupendi kwenu ndo maana unatukana baba zako.Nawasi wasi wakati unazaliwa utakuwa ulitanguliza miguu badala ya kichwa Shwaini wewe
Umezaliwa Tz sehemu gani na babu mzaa baba yako alizaliwa wapiUnapaswa kujua Zito siyo levo zako Jinga sana wewe
Nenda zako hukoHupendi kwenu ndo maana unatukana baba zako.
Wewe buku 7 zitto anakuhusu nini Kama siyo unafiki tu?kwa hiyo bungeni hatokwenda?
Wana jf wasalaam.
Naomba hata ACT Wazalendo watusaidie kutujuza alipo Mh Zitto.
Toka Bunge limeanza sijapata wasaha wakuangalia je anaonekana? Na sikawaida na kama angeonekana lazima thread ya kuzungumzia kuonekana kwake isingelikosekana.
Twitter hayupo.
Facebook hayupo.
Bado siamini kama Mpambanaji kama Zitto bado kajificha kisa anawaogopa Polisi labda kama kuna jambo lingine.
Wasalaam.