Yuko wapi Komandoo Salmin Amour?

Tujikumbushe hotuba zake ili tupate kumfahamu na labda wengine wanaweze kutupatia habari za Komando baada ya kustaafu yupo wapi na kama Mzee kwa sasa anatoa nasaha gani kwetu sisi kizazi hiki na historia ya utawala wake tunajifunza yepi mema tuyachukue na yakuacha tuache yapi, ndo umuhimu wa somo la historia kutuhifadhia mafunzo na kumbukumbu.

Baada ya kupitishwa kuwa Mgombea Urais wa Zanzibat 1990 alikwenda kuparamia Shangingi Gube Gube na Ngulumbembe la Kichagga kutoka Sharif Shamba Ilala Bibie Salma akamuoa akawa ndie First Lady.

Kwa Sasa Comandoo Ana maradhi ya kutoona kabisa, Mara kadhaa kapelekwa China kufanyiwa Matibabu bila ya Mafanikio

Mwaka 2000 akiwa na Genge lake la kina Gharib Bilal na kina Shamhuna walitaka kubaka Katiba ili aendelee kutawala akazimwa kwa Nguvu ya Uncle Ben Mkapa na Mzee Malecela

Baada tu ya kustaafu Urais Bibie akajua Bata na kuuza Fuvu kwny Media kwisha ( akadai Talaka) akahamia kwa Colonel Libya Kama Part timer

Comandoo kuna Kijana wake Mmoja anaitwa Amour nilikutana nae Uganda( 2004 Kama Sijakosea) ni Mshenzi wa Kiwango cha Lami alifukuzwa Shule Kampala kwa kosa la Kuongoza Kikosi cha Watukutu kuchoma Moto shule
 
Ana mtoto mwingine anaimba taarabu , alishamdhulumu ujira wake Mama wa watu Mwanahawa Ally , itikafu ina nguvu sana !
 
Enzi zake alitusumbua sana misikitini kwa kutumia polis kuvamia misikiti,zake zimeisha komando wa udongo.

Sheikh Mmoja wa Zanzibar pale Mitaa ya Fuoni kwny Mskt niliwahi kusikia Hotuba yake akimkumbusha Salmeen akumbuke kuwa Pamoja na kujikweza eti ni Komandoo atambue Chanzo chake ni Manii ( Shahawa) ambazo ujazo wake hauzidi Kijiko kidogo cha Chai (10 ml)
 
Dhihaka za kikafiri?
Wosia wa Jumbe:Mimi, Aboud Jumbe Mwinyi, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunibariki kuzaliwa ndani ya Uislamu, na namuomba aniruzuku kufa na kufufuliwa ndani ya Uislamu.

SITAKI Beni, SITAKI Mizinga, SITAKI maombolezo wala lolote lingine lenye hata chembe ya kufuru.

SITAKI hivyo nikiwa hai, nitakapo ondoka katika dunia Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi wangu, duniani na akhera.
 
Komandoo yupo na mzima ila amepungukiwa na nguvu ya kuona.Yumkin AhlalBadr na sala kuapiza za Wapemba za kila siku zinahusika na hili
Hio ndio shukuran i na fadhila za a za CCM Bara ni ni mateke. Wakimaliza haja na shida ya kuwatumikia kwa maslahi ya Tanganyika unabaki kuwa takataka mpaka ufe waje na Bendera ya kijani kuja kukebehi kwa kukupa na kumiminia sifa usio kuwa nazo na zisizo kuwepo. Rais Jumbe na Rais Iddrissa waliyaona hayo mapema ndio wakaweka wosia kuwa hawatki dhihaka za kikafiri kufanywa kwenye maziko yao.
Mbona wameangamizana huko huko kwenye archipelagos!
 
Mke wa kichagga aliyekuwa naye enzi za utawala wake alimkimbia na kuolewa na balozi wa Libya aliyekuwa hapa nchini. Atakuwa alimwongezea masaibu ya upweke na hata kuoa na kuoa na kuoa tena.
Yule mama alipenda sana dogodogo (Serengeti Boyz) na kujirusha.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom