Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,681
3,704
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini, isiyo ya waarabu tu ya watu wote) au Kuwaacha wasudan kusini ambao walikua si waislam, waafrika.

Lakini yeye alichagua Sudan ya kiislam iwe nchi inayongozwa kwa sheria za kidini, na yenye utambuzi wa kiarabu hivo aliruhusu wasudan kusini wajitenge kuliko kufanya sudani ya wote.

Leo hii sudan haitawaliki imekua failed state.

Your browser is not able to display this video.

 
Walikuwa na nguvu sana hata kwenye Bible wamo
Ila baadae wakashambulia Egypt
Ila ukiona mwafrika ana mafuta lazima kutakuwa na mgogoro
Waafrika wakishika madaraka uzalendo wanaweka pembeni kabisa na wanaweza kuiuza nchi kwa maslahi ya wanasiasa wachache

Angalia Asia wakipata mafuta wanavyokuwa na maendeleo
Halafu angalia nchi zetu hata wanaojifanya wamesoma zaidi kama Nigerians bado nao ni vurugu tu na utajiri wa mafuta


Waarabu zaidi ya kuchunga ngamia walikuwa hawajui kitu ila wamepata mafuta na kutumia utajiri wao kwa maendeleo yao

Africa tamaa za wachache ndio zinatufanya tuwe masikini wa kutupwa hata sisi pia
 
ni nchi gani ambayo sultani amepinduliwa halafu ukasikia amerudi kutawala? Stop dreaming please! Sultani mwenyewe ana umri wa miaka 94, does he care about recolonizing Zanzibar? I doubt.

Lakini nitakupa mfano wa nchi ya Tanzania ambayo ilimrudisha mtawala aliyepinduliwa bila ya hata raia wake kushauriwa kwa sababu tu alikuwa ...... vipi vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…