HATAREEUhh Michael Bolton, he's my favourite male singer..., Napenda sana nyimbo zake.
1. Can I touch you.... there
2. Completely
3. Said I Love but I lied
4. To love somebody...
5. Time, love and tenderness
6. Only a woman like you
7....
No problem son
Noma sana
Hamnaga kuskip nyimbo zake unasikiliza na hisia juu kunawatu wanavipajiNoma sana
sanaaHamnaga kuskip nyimbo zake unasikiliza na hisia juu kunawatu wanavipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
sanaa
ila hata TZ nako kuna vipaji
okTz vingi sna tatzo vijana now nyimbo za slow zenye ujumbe hatutaki ni full kujirusha
Sent using Jamii Forums mobile app
HatareeMichael Bolton:
1. Said that I love you but I lied.
2. To love somebody
3. How am I supposed to live without you.
4. Lady in Red
n.k.
Ukiniongezea tena vitu vya Billy Ocean, Phill Collins, Brian Adam, Peabo Bryson, Regina Belle, Richard Marx, Roxette n.k umemaliza na kama naanzisha uhusiano na unazipenda hii miziki mitamu umevuka kigezo cha kwanza kwa sababu kama huamini jumbe zake hatuendani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiru wa ndumiDada mwajuma eeh njoo Dada,
Dada unanikimbia oh,
Rudia x 2
By kilwa jazz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha