You don't know what is like, to Love Somebody the way I Love You...

Tupoo

hizo nyimbo zili make sense enzi zile when the feelings were real, siku hizi na nyimbo zenyewe hovyo hovyo tu.
Man hizi nyimbo mpaka leo zinamake sense.
Americas wengi wamekuwawakisema wanasikiliza nyimbo za zaman zaid maana hiz za sasa ni kama trash, wanasema wasanii wa sasa wamekosa creativity.

Hili ndio tatizo ninaliona bongo. Sikiliza hata bongo fleva za zamani na sasa ni different story. Zaman wasanii walikuwa so creative, kila mtu alikuja na style yake na mashairi yake. No ku copy.

Sasa hiv ni mwendo wa kucopy, mashair wanatungiwa.. saa nyingine hakuna mashahiri. Yaan hovyo tu, alaf kutwa maoenz maoenz na ww.. hakuna ubunifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom